John na japhet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John na japhet

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SHIEKA, Feb 14, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  John alimtembelea rafiki yake Japhet ili ajue maendeleo ya ujenzi wa nyumbaya Japhet. John akafika kwenye hiyo nyumba mpya ya japhet na kumkuta rafikiye akitokwa na majasho mengi huku akiwa bize kupiga nyumba rangi, Kumwangalia Japhet vizuri, John akagundua kuwa kumbe rafikiye alikuwa amevaa makoti mawili.Ilibidi John amhoji Japhet kwa nini kuvaa makoti mawili mchana na jua liko utosini. Mazungumzo yalikwenda hivi:
  JOHN: "Eee bwanae! Mbona makoti mawili jua lote hili?
  JAPHET: "Nataka kazi hii ya rangi iwe safi"
  JOHN: "Ndo uvae hayo makoti?"
  JAPHET: "Hasa!" Kisha kusema hivyo,Japhet alinyanyua kopo moja la rangi na kumwonesha John huku akimwambia, "Soma hapa!" John alisoma maandishin haya kwenye kopo la rangi: "FOR BEST RESULTS PUT ON TWO COATS.
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hahaha akili za mwanaasha hizo..
   
 3. brightrich

  brightrich Senior Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani Mwanaasha kafanyaje tena! Mbonaaaa!
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Jamani mwacheni Mwanaasha! Mbona mnamwandama hivyo? Wengi wameambulia div IV na FLD. Kwa nini yeye tu?
   
 5. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahahahaha:lol:
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  teh teh
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aah yule mwanaasha mtoto wa.... Yule ninayemuonga vodka nn?
   
Loading...