John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.

Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
 
John mrema hajawahi kufanya kazi yyte tangu amalize/ adisco chuo pale mlimani way back to 2006.
Hana uwezo wa kuitisha mkutano na mtu yyete na ukajaa kwakuwa yeye alikuwa afisa habar tu na hakuwa kiongozi yyte
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Mbowe yupo wapi? Mbona haonekani kwenye mikutano ya chauma!
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Toka akiwa Chadema, Mrema na yule Mfupi sijui jina nani....!

Nilipokua nasikia wakiongea, nilikua naona Uwezo wa Akili zao ulivyokua mdogo.
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Alikuwa anaandika akiwa amelewa sasa kaona hali halisi huku field amenywea.
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hakuna jipya ndani ya CHAKUuMA, wanapiga pesa ya umma kupitia ccm tu
 
Si useme tu ukweli? Mbona unachora mstari?

Ukweli huu Uzi wako ilipaswa uandike;

" PROJECT ALIYOPEWA CHAPOMBE MREMA NA SISIEM YA KWENDA KUIUA CHADEMA IMEFELI KABLA HAIJAANZA".

Hapa mliofeli ni nyie mbogamboga. Na kwa hali inavyoendelea,Wala hakuna haja ya kupiga kelele ya 'no reforms no election' automatically tu mwaka huu watu hawana mood ya kwenda kupiga kura. Wengi sana watalala nyumbani,hawana Imani na huyo Maza enu mchambaji kama hadija kopa.
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Chadema wajawa hofu na kasi ya Mrema CHAUMA 🐒
 
Bora wangekubali vyeo vya kuitwa wastaafu kuliko vyeo walivyo navyo Chaumma.. Chadema isingekosa cha kuwatuma kwa uzoefu wao
 
Kama Waziri Mkuu Mstaafu Pinda anatumwa tofauti na mstaafu Sumaye aliyekosa utulivu kipindi kile.
 
Si useme tu ukweli? Mbona unachora mstari?

Ukweli huu Uzi wako ilipaswa uandike;

" PROJECT ALIYOPEWA CHAPOMBE MREMA NA SISIEM YA KWENDA KUIUA CHADEMA IMEFELI KABLA HAIJAANZA".

Hapa mliofeli ni nyie mbogamboga. Na kwa hali inavyoendelea,Wala hakuna haja ya kupiga kelele ya 'no reforms no election' automatically tu mwaka huu watu hawana mood ya kwenda kupiga kura. Wengi sana watalala nyumbani,hawana Imani na huyo Maza enu mchambaji kama hadija kopa.
what a wastage of TZS 20B

imenikumbusha USD 2B Kamala alizotumia kupigwa mweleka na TUMP-MAGA
 
Majinga haya mamboga ya kijani.

Mbaya zaidi huyo mama yao aliyetumia udicteta kujichagua hauziki kabisa.
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Alitoroka na account ya chadema ya you tube. Ndio anaitumia kutangaza mambo ya chauma.

Jamaa ni mpumbavu kiwango kisicho na mfano.
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Alishindwa kuongea na CCM ikamletea wanafunzi?
 
Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza.
Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama ACT ilivyoenda kuia cuf
Msenge mmoja huyo Hawezi siasa angehamia tu CCm ila kule kapotea.
 
Back
Top Bottom