John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

Mrema na wenzake walioleft Chadema nadhani tayari wamejitathimini na kuona kuwa wao walikuwa vifungashio tu pale chadema
 
Kwakweli nafasi yake ya ukurushenzi wa habari ndani ya CHAUMA imepwaya bora apewe yule mama wa mrimba nimemsahau kwa jina jana nilimuona Mwanza akijitahidi kupigua debe ubwabwa
 
Wajitathini mapema kabla ya kuanza kazi ya kuchukua nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom