PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,559
Reaction score
3,953
TAARIFA KWA UMMA.

YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA.

Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na kusababisha watu mbalimbali kupiga simu, napenda kutoa ufafanuzi ufuatao;

1. Mimi John Mrema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA mwenye kadi ya uanachama namba 0111 na kuwa wanachama wa CHADEMA tunatambulika kwa namba za kadi kwa mujibu wa Kanuni ya 5.1 na 5.2 . Barua inayosambaa hainihusu mimi kwani haikutaja namba ya uanachama wangu labda kuna mtu tunafanana majina.

2. Ikumbukwe kuwa Chama hiki ni cha kimtandao/Kidigitali, hata kadi yangu ya uanachama ambao inadaiwa nimefutwa haikutajwa hivyo inawezekana kabisa barua hii hainihusu hata kidogo.

3. Tawi langu sio Binywokwa kwani nimesajiliwa tawi la Makongo, mimi sijasajiliwa kwenye tawi tajwa la Bonyokwa na taarifa hizi zinapatikana kwenye mfumo wa kidigitali wa Chama

4. Mimi sio mwanachama wa tawi la Bonyokwa kwa mujibu wa kanuni za chama Kanuni ya 5.3. (imeweka utaratibu wa mwanachama kutakiwa kuwasilisha taarifa zake kwa Katibu wa tawi pindi anapohama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine). Hivyo kuishi eneo husika halihalalishi kuwa tayari ni mwanachama wa tawi husika wakati utaratibu wa kanuni husika haujafuatwa na ndio maana sijawahi kushiriki kikao chochote cha tawi la Bonyokwa kwani hilo sio tawi langu.

5. Hivyo basi tawi tajwa la Bonyokwa hawana mamlaka ya kunivua uanachama wangu kwani mimi sio mwanachama wa tawi hilo na kadi yangu inajieleza imesajiliwa tawi lipi na inapatikana kwenye mfumo rasmi wa Chama wa Chadema Dogital.

Pia soma: Pre GE2025 - John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

Mimi John Edward Mrema, ni mwanachama halali wa CHADEMA mpaka hapo nitakapochukuliwa hatua kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Chama.

Aidha, ili mwanachama avuliwe uanachama wake Katiba imeweka utaratibu na makosa ambayo yanaweza kumvua mtu uanachama, yapo kweye Katiba ibara ya 5.4.3 ni pamoja na kuwa na mwenendo usioendana na Itikadi, Falsafa, Madhumuni, Kanuni, Maadili na Sera za Chama.

Hivyo nitaendelea kutimiza wajibu wangu kama Mwanachama kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Chama.

John Edward Mrema
Mwanachama mwenye kadi namba 0111.
Tawi la Makongo
Jimbo la Kawe.
 
Utata..
Barua ya Chama inasema anatoka tawi la Bonyokwa. Yeye huku anasema anatoka tawi la Makongo.

Soon pataanza kuchangamka
 
Mzee Mbowe mnasemaga ni Bilionea si amwajiri kwenye makampuni yake ?
 
King'ang'a wa ruzuku. Wewe jidanganye tu. Umepauka kwa kukosa ruzuka kama kahaba akiyetoka kuchoropoa mimba. Enzi ya kubunya ruzuku hairudi tena bwege wewe.
 
Huyu kibwengo bado anaiota ruzuku tu,na anavyopenda pombe lazima aolewe safari hii.
 
Mtamtukana sana lakini kiukweli ni kuwa anakijua chama chake kuliko wengi wa viongozi wa sasa. Anachotaka ni atendewe haki na asikilizwe. Ugumu uko wapi? Atawasumbua sana hata mkifanikiwa kumfukuza maana aliyowaasa karibu yataonekana.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom