PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe Duka lake ni Chadema hana Ubilionea wowote tunajuana yeye anawatuma hawa akiwa nyuma anaratobu kila kitu sikuwahi kujua mtu mzima kama yule mzee ni mbabaishaji kiasi hiki.
Mzee Mbowe mnasemaga ni Bilionea si amwajiri kwenye makampuni yake ?
 
John Mrema wewe huwezi kukaa kwenye mti unaoukata!!! Tunajua genge lako unalosema wewe ni spika mko na Mbowe nyuma miaka yote mmechuuza watu mnafanya udalali wa siasa mnaishi watu washenzi nyie hamjawahi kuwa wapinzani ni udalali mmefanya sasa kama hawakutaki hamia CCM uone kamautatukana viongozi uachwe tu...Nyie watu washenzi mmekua mnadanganya kwamba ni wapinzani kumbe ni udalali hovyo sana nyie. MBOWE hakua wala hajawahi kuwa mpinzani.
 
Back
Top Bottom