Because wasn't intended for simple mind like you!Nonsense nonsense square...
ZeMarcopolo acha ushabiki...hivi kwa nini katika msiba huu wanaopiga ndulu sana ni walio maadui?!
Kitu kimoja wengi hawajui juu ya Waraka ulio mtandaoni ni kuwa umefanyiwa uhariri. Kama ungewekwa kama ulivyokamatwa Zitto asingekuwa na guts za kuitisha press conference jana na wala wapigandulu wa Lumumba wasingkuwa na upenyo wa kupiga mayowe
Bora mnyika awe katikati asioneshe upande.
Ni suala la Kimkakati na kutoa nafasi ya watuhumiwa kuonyesha kitubio. Lakini kwa bahati mbaya matamshi ya Zitto na Kitila Mkumbo jana hayakuzingatia nafasi na fursa walizopewa. Hivyo CHADEMA makao makuu inaweza kutaka kufunua baadhi ya mambo ya hatari na ya ndani zaidi yaliyohaririwa au kuachwa katika waraka uliowekwa mitandaoni. Hili hata Mama Zitto analijua kuwa waraka halisi ni wa moto, unapilipili na unawasha au unachoma kabisakwa nini ufanyiwe uhariri? kinafichwa nini?
Ni suala la Kimkakati na kutoa nafasi ya watuhumiwa kuonyesha kitubio. Lakini kwa bahati mbaya matamshi ya Zitto na Kitila Mkumbo jana hayakuzingatia nafasi na fursa walizopewa. Hivyo CHADEMA makao makuu inaweza kutaka kufunua baadhi ya mambo ya hatari na ya ndani zaidi yaliyohaririwa au kuachwa katika waraka uliowekwa mitandaoni. Hili hata Mama Zitto analijua kuwa waraka halisi ni wa moto, unapilipili na unawasha au unachoma kabisa
Unaweza kunipa sababu ya msingi ya Mnyika kuzima simu zake zinazojulikana kwa umma na kukatika kimawasiliano toka wiki ya tarehe 10? Pili, Je, ni kweli Mnyika alikuwa miongoni mwa delegation ya wabunge wa Kamati ya Maliasili iliyokwenda nje? Wadhani kwa nini aliamua kulazimisha safari ya ghafla kukacha kikao cha Kamati Kuu?Ndugu tunaweza kukubaliana na wewe kwa uliyoyaandika kuhusiana na waraka kueditiwa blah blah lakini uwache uongo wako kuhusu Mnyika