John Mnyika: Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao

Siyo CDM pekee kulikuwa na vyama imara zaidi kama NCCR, CUF lakini leo viko hoi bin taabani kwa hiyo usishangae miaka ijayo CDM ikawa kama vyama hivyo!!
hio ndio kazi ccm wamewapa mpambane kuiuwa chadema?bado hamuamin kama TAL ni mwenyekiti wa chadema?mtapata tabu sana
 
Tumsikilize hapa akijaribu kujipapatua
Your browser is not able to display this video.


Video Courtesy: Jambo TV
 
Yani Jinsi serikali inavo tafuta kesi ya kuwwpa hao jamaa, ingekua ni kweli alihusika.

Wangefurahi saana, maana hii ilikua ni black and white mvua za kutosha + instituition Damage kwa CDM
 
Akiingizwa spoku ya baiskeli kwenye njia ya mkojo atasema tuu
 
Ali Mohamed Kibao alitekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio siku iliyofuata ukiwa umeharibiwa vibaya, tukio ambalo lilizua mshtuko mkubwa nchini na kimataifa.
Mauaji haya ndio ya mwanzo kabisa aliyohusika nayo moja kwa moja Samia Suluhu Hassan; kwa sababu yalimuhusu yeye mwenyewe na familia yake binafsi. Hili jambo lipo wazi.

Mzee Kibao hakuuliwa kwa sababu za siasa zake kuwa tishio kwa CCM. Hakuna aliyemfahamu huyu mzee kuwa yupo katika maswala ya kisiasa.

Katika maswala yooote ya uhalifu yanayomhusu Samia Suluhu Hassan, hili la Mzee Kibao ni lazima liwe la mwanzo kabisa.
 
Walikufa wangapi hapo 29 October 2025.? Mbona magoli yanahamishwa?
 
Akiingizwa spoku ya baiskeli kwenye njia ya mkojo atasema tuu
Fikra za namna hii anza kuzielekeza kwa mhusika mwenyewe, Samia Suhu Hassan; kwa maana maovu yote yanayomhusu yeye sasa yanaanza kujiweka wazi kwa pamoja.
 
Akili itakurudia siku ukimwona Mnyika yupo CCM tena!! Chezea wanasiasa wewe!! Wakina Esther Matiku na Bulaya wako wapi vile??!!
Halafu itakusaidia nini sasa akihamia kwenye hicho chama chenu cha majambazi!
 
Mnyika hakuwa na haja ya kuwajibu hawa wasenge bali angewaburuza mahakamani tu hata kama hizo Mahakama hazipo huru lakini kuweka record sawa.
 
Siyo CDM pekee kulikuwa na vyama imara zaidi kama NCCR, CUF lakini leo viko hoi bin taabani kwa hiyo usishangae miaka ijayo CDM ikawa kama vyama hivyo!!
Huu utabiri kuhusu cdm ni kama umeshindwa kufikia matamanio ya kila mwanaccm. Hiki ni kizazi kingine boss. Kwa sasa ccm inabidi ijiangalie itaweza kuendelea kuisha kwa muda gani, kwani uwezekano wa kuuia cdm umefikia mwisho, na hakuna namna nyingine bali kutegemea mbeleko ya dola wazi wazi.
 
Waliompiga lisu risasi mpaka Leo hawajajulikana na CCTV camera zilikuwepo wakazing'oa mpaka Leo hawataki kuzitoa je nani atawaamini watu hawa policcm?
Kwa hili la Lissu tumtafute Kalemani aliyekuwa jirani yake kwanini aliruhusu camera zitolewe.
 
Haya.
 
Labda CCM igawanyike kama alivyosema Baba wa Taifa Nyerere lakini siyo vyama hivi vilivyopo sasa. Kanu iligawanyika na vyama vinavyoogoza sasa hivi Kenya nikutoka kwenye hiyo Kanu.
 
Umepiga kauta ataki hapa na kufungu dk ya 96. Refa amemaliza mpira.
 
ni kweli kabisa...mfano yule tapeli wenje ,odero hawa malaya wa siasa wangeitumbukiza gizani chadema
siasa ni michezo, ukiwa maskini utaendeshwa na siasa kama dini ila waliopo ndan ya siasa wanahama mda wowote wakitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…