Hata hueleweki. Mnyika amesemaje acha kuweweseka
Hata hueleweki. Mnyika amesemaje acha kuweweseka
Nampongeza sana Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kwa kumuumbua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda juu ya uongo wake kwa Taifa kuhusu mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Mpya yaliyowasilishwa na Chadema. Nami nathibitisha Pinda ni Muongo kinoma!
hivi kutwa jf unafanya kazi sa ngapi na wanaokutuma wanakulipa shi ngap
Nampongeza sana Mbunge wa
Ubungo, John Mnyika kwa kumuumbua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda juu ya
uongo wake kwa Taifa kuhusu mapendekezo ya Mabadiliko ya Katiba Mpya
yaliyowasilishwa na Chadema. Nami nathibitisha Pinda ni Muongo
kinoma!
Hata hueleweki. Mnyika amesemaje acha kuweweseka
Huyu waziri historia itamuhukumu!
Wewe umeweka post ya Pinda na weledi wa Mbowe. Kama unaangalia bunge au upo bungeni guambie wewe kasemaje.
Au unajua kujamba tu kwasababu harufu huisikii kutokana na usugu wa magamba ya makamasi puani.