Kwenye kampeni kipindi icho Lowassa hakuwepo,walikuepo kina Nape,Mwigulu,Mkapa. Na Sioi alilazimishwa kugombea,yeye hakuitaji ubunge ndio maana alivyotangazwa tu kushindwa akasepa zake na kutorudi tena Meru.
Lowassa alikuwepo na kina Nape waliagizwa na Jk kukisaliti Chama kumkomoa Lowassa na Mkwewe na ndipo hapo Lema aliposema ni Baraka kwa Mungu kumwita Lowassa Fisadi
Hiyo kusema alilazimishwa kugombea labda ngazi ya Familia Akina Fred na Pamela ndio walimlazimisha