Mwezi ulioisha?alafu sijui kwann kila upande kuna watu wapo kimya hata ule upande wa pili kuna yule mmoja yule utafikiri hayupo kwenye system kabisa.
Hahahaha!Mwezi ulioisha?
Mpaka karibu tunawasahau wakuu
Tumemiss zile hoja nzito nzito zikizokuwa zinawatingisha na kiwatetemesha wazee wa chama dola
Hata katika vita hii kubwa ya madawa ya kulevya hatujawasikieni
Kulikoni?
Inawezekana.John mnyika alishaonesha toka kipind kile cha uchaguz kwamba hakubarian na mamvi kuwepo pale na alikuwa upand wa Dr na mpaka leo ana iman na Dr
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Kweli?!Nassari anajua kabisa Lowassa kishakubaliana na Mbowe Arumeru Mashariki apewe Sioi Sumari Mtuhumiwa wa Utakatishaji Fedha aliepo Mahabusu kwa Muda mrefu ambae pia ni Mkwe alieoa Binti Lowassa aitwae Pamela na Huyu Sioi aligombea na Nassari Enzi hizo yeye na Mkwewe Lowasa wakiwa CCM wakashindwa
Pamoja na Mnyika kuwa na Amnesia lakini Lowasa ni tatizo kubwa.
Thibitisha?Tukiwaambia tatizo ni Lowasa hamtuelewi...... Siasa za upinzani Tanzania zimebaki kwenye maigizo tu.
Si kweli!Lowassa anawakosesha usingizi