Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,276
Nasari yuko pamoja na wananchi hawawezi kumtosa hilo la mgogoro kwenye chama linawezekanaNafikiri Nasari atakuwa na wakati mgumu sana jimboni kwake siku za usoni endapo hatajirekebisha na pia anaweza kukumbwa na mgogoro chamani kwa kuwa na kuwa na viashiria vya kuunga mkono upande wa pili...huu ni mtazamo wangu.
Mnyika amekuwa kimya nafikiri yapo yanayomsumbua moyoni tangu kipindi cha uchaguzi. Ni maombi yangu apone hicho kidonda aendeleze mapambano ya kulitetea taifa