Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Nassari anajua kabisa Lowassa kishakubaliana na Mbowe Arumeru Mashariki apewe Sioi Sumari Mtuhumiwa wa Utakatishaji Fedha aliepo Mahabusu kwa Muda mrefu ambae pia ni Mkwe alieoa Binti Lowassa aitwae Pamela na Huyu Sioi aligombea na Nassari Enzi hizo yeye na Mkwewe Lowasa wakiwa CCM wakashindwa
Kwenye kampeni kipindi icho Lowassa hakuwepo,walikuepo kina Nape,Mwigulu,Mkapa. Na Sioi alilazimishwa kugombea,yeye hakuitaji ubunge ndio maana alivyotangazwa tu kushindwa akasepa zake na kutorudi tena Meru.