Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,274
Matumizi ya nguvu katika mgomo Chuo Kikuu DSM jana, 11.11.11
Poleni wanafunzi na jumuiya ya Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), ni aibu kwamba mpaka mgomo na mabomu ndio serikali ichukue hatua kwa madai ya mikopo kucheleweshwa na kupewa kwa masharti yenye kuumiza watoto wa watanzania wa kawaida.Kila binadamu anayo haki ya kusoma!Ni moja ya haki ya msingi ktk haki za kibinadamu. Nasikitika siko pamoja nanyi jimboni Ubungo ktk wakati huu mgumu, nitachukua hatua za kibunge huku Dodoma-Bungeni.Kwa Pamoja Tunaweza!