John Mnyika: Hatutoi sasa majina ya walioficha fedha Uswisi

Mbona tumeisha wazoea kwa majungu yenu marangapi mmeleta uongo wenu na hakuna kilichofanyika hata hili la majina ni usanii tu kwa jinsi mnavyo penda sifa majina yangelikuwepo mbona mngeliataja siku nyingi sana wadanganye watz ila mwisho wa uongo wenu ndio mwisho wa siasa zenu za maji taka!!
 
.......
Watajeni kama mna majinayao na kama serikali haitawashughulikia basi wananchi watawashughulikia.

Mpaka sasa serikali haijayashughulikia majina ya Mwembe Yanga, Je. wananchi unaowasema wameshughulikiaje hili kiasi cha kumshawishi Mnyika awataje hao walioficha pesa Uswisi?
 
- Yaani hopeless kabisaa!! Mkutano wa Chama tu unawashinda wajumbe hawaji kwa sababu hakuna posho huku wenyewe mnaliapana mahela ya ajabu, afu eti majina ya uswiss nani aliyewauliza kama mnayo ni wenyewe na vihere here vyenu, sasa Swiss wenyewe wamewapa masharti ya kujua hayo majina na mnajua kwamba hamna facts sasa hamtaji, nendeni kwanza mfanye mkutano wa Chadema hapa mkoani maana wajumbe wamegoma!!

Le Mutuz!
 
Le Mutuz!!
Nonsense!
 
Refusing to mention the names of the alleged undercuts their own credibility.

Mkuu kama serikali imeahindwa kuwashughuliki hao waliokwishatajwa tena kukiwa na ushahidi wa kujitosheleza kuna haja gani ya kutaja wengine?

Halafu Mkuu, Polisi au serikali haikamati wahalifu mpaka watajwe na raia? Eeh, haya makuu, basi hatuna serikali!
 
- Yaani hopeless kabisaa!! Mkutano wa Chama tu unawashinda wajumbe hawaji kwa sababu hakuna posho huku wenyewe mnaliapana mahela ya ajabu, afu eti majina ya uswiss nani aliyewauliza kama mnayo ni wenyewe na vihere here vyenu, sasa Swiss wenyewe wamewapa masharti ya kujua hayo majina na mnajua kwamba hamna facts sasa hamtaji, nendeni kwanza mfanye mkutano wa Chadema hapa mkoani maana wajumbe wamegoma!!

Le Mutuz!

Le Mutuz!!

Eeh, Le Mutuz kazi unayo; unashinda jf kupiga majungu!

Kwa nini usifuate nyayo za baba yako ambaye ni mtu mwenye busara hadi kufikia ngazi ya waziri Mkuu.

Ukiendelea namna hii hata ubalozi wa nyumba kumi kumi hufai!
 
Mkuu Mnyika hapo kwenye wekundu: Ile list of shame haijashughulikiwa kweli? Unataka ishughulikiwe na nani? Mimi nina hakika kabisa wananchi kwa umoja wao wameishughulikia ile list of shame ambayo ilitajwa. Mbona ushahidi wa kushughulikiwa kwao uko wazi kabisa. Wengine hadi wamejiondoa kwenye siasa kwa kelele za wakulima, wakwezi, wawindaji na wafanyakazi. Huoni kwamba kutajwa kwa ile list kuliisaidia CDM kufika hapo ilipo?

Watajeni kama mna majinayao na kama serikali haitawashughulikia basi wananchi watawashughulikia.

Ni aibu kusema list imeshughulikiwa....taja mmoja ambaye yuko jela au amefilisiwa....watanzania tunadanganywa na vitu vya kitoto...ni aibu kwa walidhubutu ku-like status yako
 
Mkuu kajima huwezi kuelewa hadi ueleweshwe! Nimesema wanashughulikiwa na wananchi siyo serikali. Wananchi wana jela zao siyo hizo za kiserikali. Jikumbushe waliotajwa kisha uangalie maisha yao ya kisiasa tangia walipotajwa na waliotaja yamekuwaje tangia mkutano ule. Acha kuwa myopic!
 
Last edited by a moderator:
Eeh, Le Mutuz kazi unayo; unashinda jf kupiga majungu!

Kwa nini usifuate nyayo za baba yako ambaye ni mtu mwenye busara hadi kufikia ngazi ya waziri Mkuu.

Ukiendelea namna hii hata ubalozi wa nyumba kumi kumi hufai!

Labda UWT ndo kunakomfaa kuwa kiongozi zaidi ya hapo sifuri kabisa.
 
Refusing to mention the names of the alleged undercuts their own credibility.

And could only add credence to the notion that they are bluffing for purely political pyrotechnics.

Again,

Zitto,

Industry rule #4080 ...

"When you come, come correct, or don't come at all"
 
- Yaani hopeless kabisaa!! Mkutano wa Chama tu unawashinda wajumbe hawaji kwa sababu hakuna posho huku wenyewe mnaliapana mahela ya ajabu, afu eti majina ya uswiss nani aliyewauliza kama mnayo ni wenyewe na vihere here vyenu, sasa Swiss wenyewe wamewapa masharti ya kujua hayo majina na mnajua kwamba hamna facts sasa hamtaji, nendeni kwanza mfanye mkutano wa Chadema hapa mkoani maana wajumbe wamegoma!!

Le Mutuz!

Le Mutuz!!

huyu jamaa bhana alafu anataka uongozi hivi wewe kweli unavyojihisi uanaweza kuwa kiongozi kweli maana napata hofu na the way unavyorespond hata pale ambapo watu wanajadili jambo la msingi wewe waleta mzaha tuu
 
Strategically CDM should not name the Swiss account holders. Let this be a weapon to slash the corruption Kingpins in CCM for the next two years. Names these people A year to election so they can remain on defence. Keep a list of their dirty laundry based on gravity until them. in the meantimes, scrutinize on the regular issues
Subirini tu hadi hicho kipindi cha uchaguzi, wakati hadi muda huo ukifika raia watakuwa wameshasahau kabisa wimbo wa habari za Uswisi, nadhani kutakuwa na single mpya kabisa kipindi hicho kutokana na hizi siasa zetu za msimu.
 
Tokeni hapa! Zitto ameshawapiga Bao, nyie endeleeñi kutekenyana na Misukule yenu.
 
Back
Top Bottom