Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,795
- 218,436
Kwa vile wazazi wako hawakudhalilishwa na awamu ya 5 ndio maana hujali kitu , Waulize Makamba na KinanaPunguzeni Sana kuongea maneno yasiyo yamana maelezo yako yote lamana ni picha ya mnyika na tarehe ya kuaza sikilizwa rufaa
Unajua Wizi wa hao unaowataja wewe! Watu wengine ni wapuuzi ajabu!Kwa vile wazazi wako hawakudhalilishwa na awamu ya 5 ndio maana hujali kitu , Waulize Makamba na Kinana
Kwani makamba na kinana nani walimdhalilisha mwenzao?Kwa vile wazazi wako hawakudhalilishwa na awamu ya 5 ndio maana hujali kitu , Waulize Makamba na Kinana
Chadema wao kila siku eti kesi zao ni magumashiUnajua Wizi wa hao unaowataja wewe! Watu wengine ni wapuuzi ajabu!
Leo Tarehe 10/07/2022 , Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, amefika kwenye gereza la Bariadi kuwajulia hali Viongozi wa Kata ya Dutwa , Jimbo la Bariadi Waliofungwa kifungo cha Maisha Gerezani.
Wafungwa hao wa kisiasa KATALA KIKAJA na NG'ULIMA LILANGA , walibambikwa makosa ya Uongo ili kuwakomoa na ile serikali ya Kikatili ya awamu ya 5 kwa vile Walikuwa viongozi wa Chadema , waliokataa siasa za kishamba za kuunga mkono Juhudi , zilizokuwa zinasimamiwa na kuratibiwa na Humphrey Polepole aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CCM , ukiacha aliyewatuma ambaye alikwishafariki , lakini Wahusika wote wa unyama huo bado wako hai na wanafahamika .
Hata hivyo Chadema imekwisha kata Rufaa na tayari rufaa hiyo imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 20/07/2022
KILA UBAYA UTALIPWA .
Umekosea kumjibu huyo kichwa chake ni kifuniko Cha shingo na jumba la meno.Kwa vile wazazi wako hawakudhalilishwa na awamu ya 5 ndio maana hujali kitu , Waulize Makamba na Kinana
Hili Jambo hata Mimi linanipaga ukakasi sisi wananchi wabinafsi Sana ..hapa mitandaoni huwa tunajifanya mdomo mwingi na wamoja Ila uhalisia hakuna hiko kitu ndo maana watu wakipata matatizo tunawaacha peke yao.CDM Wana mbinu za hovyo za kisiasa, ona Sasa, hao wananchi wanaojifanya kuwapigania Wala hawana habari nao, watoto wao na wake zao wanaishi maisha ya shida.
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, CDM msijifanye mnamudu mizigo ya wengine
Mkuu baada ya matokeo ya DNA bado unaendelea kulea watoto wa mbowe watano ukidhani ni wako kwenye ndoa yako?Mwaka huu tusiposikia Mbowe anamuoa mtoa mada cjui utakuaje.!
Mbona mama ako bado anakulea huku akijua ww ni shoga unapumuliwa kisogoniMkuu baada ya matokeo ya DNA bado unaendelea kulea watoto wa mbowe watano ukidhani ni wako kwenye ndoa yako?