John Mboro; mwanaharakati

LIKUD umeipoteza heshima yako kidogo

Kivipi mkuu? Nimeripoti kuhusu mtanzania mwenye jina ambalo matamshi yake yanafanana na neno ambalo halifai kutamkwa hadharani.. hapo tatizo lipo wapi?
 
LIKUD ebu naomba ummulize kijana John hili sali. Je, alikuwa anajisikiaje pale anapoitwa na mwalimu shuleni kwa jina hilo la ukoombele ya wenzake?
 
Ni kawaida tu uchagani kuna ukoo wa Mboro,siku moja mtangazaji wa kike radio one alikuwa anatangaza matangazo ya vifo alikuwa anapata shida sana kutamka jina Mboro ikabidi awe anaongeza spidi akilifikia nahisi alikuwa anaona aibu basi tu.
 
Ndio hao wanaitwa Mboya ili kuficha makali ya hilo jina..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…