John Mashaka: Our Nation and Morals under attack

Nisaidieni basi Lundenga ndio nani? Siishi Bongo kwa sasa

Hasheem Lundenga ndiye mratibu mkuu wa mashindano ya Miss Tanzania. Yohana Mashaka ni mwanaharakati mtanzania anayeishi huko marekani. Ni kijana kadogo tu, ila sijui kwa nini anawapa watu tabu kiasi hiki. anajifanya mzalendo kumbe ni ka mawanasiasa fulani. Hapendi kweli wachina, na itakuwa vizrui serikali ya JK ikampeleka huyu kijana Keko kwa maana mwelekeo wake ni kuwa radical mkubwa sana. atasumbua sana serikali ya JK asipodhibitiwa. Ndo tabia zao wakurya
 
This is just silly. An argument is not strong simply because of its emotional appeal. I find the whole reasoning flawed and the substance repugnant if not totally offensive.
 
...na itakuwa vizrui serikali ya JK ikampeleka huyu kijana Keko kwa maana mwelekeo wake ni kuwa radical mkubwa sana. atasumbua sana serikali ya JK asipodhibitiwa. Ndo tabia zao wakurya
Kwa hiyo una maana wakurya wote wadhibitiwe lupango, sio?
 
This is just silly. An argument is not strong simply because of its emotional appeal. I find the whole reasoning flawed and the substance repugnant if not totally offensive.

Mwanakijiji, I totally agree with you! The guy argumentation is xenophobic and heaps blames upon foreigners, were the foreigners the main stakeholders of miss TZ? The whole thing sounds settling a score!
 
the issue here in the first place is, why people perished in that vessel? was it just an accident? what about the authorities which they are responsible, among other things, to ensure that the vessel is seaworthiness, carry both passengers and cargo as the capacity of the vessel. is this the first vessel tragedy our country has experienced? are there any similarities in terms of what have mentioned above? what above the rescue mission? could we serve more lives if we had better rescue facilities?

Now our learned brother, John Mashaka has not thought all of the above, to him the most important thing is, who ignored to observed the mourning period, and more specifically, the miss Tanzania event. he is not examining why this happened? why again after MV Bukoba? didn't we learn from the last tragedy? I do remember that during MV Bukoba,the country requested rescue team from SA. Did we ask the South African Government to help us to established a rescue team like the one from SA. Now we have asked them to come again, poor Tanzanians!!!

Now listen to the speeches delivered by our leaders, all of them saying like... naipongeza serikali ya mapinduzi kwa kazi nzuri waliofanya wakati wa maafa haya. Na mwingine anasema tunaipongeza serikali ya muungano na haswa Doctor kwa kuwa nasi. na Doctor JK anasema msiba huu umetuonyesha mshikamano wetu wa bara na visiwani. Jamani maafa na pongezi pamoja, naomba mnisaidie. In other words, we need more tragedies like this one so that our leaders may use them as political plat form. But my schoolar Brother, Mashaka, for him, its all about the Pageant event.
 
Nimeshapendekeza kwamba, the likes of Yohana Mashaka deserves Jail. Huyu ni wa kuweka Keko hadi JK amalize kipindi chake. Watch my lips, karibuni atalipuka na kuanza upinzani hadharani. Yaani mimi wakurya wamenitoka kabisa kwenye damu
 
Kwenye post yangu wamesema asante Lundenga what is that?
 
Mashaka, the person who wrote the article? na ni nani Lundenga?

bosi, lundenga ni mratibu wa miss tanzania. mashaka yohana ni mwandishi wa haya makala. na simpendi kweli huyo fisadi dagaa. sababu yangu ya kumchukia ni kuifanya umma wa kitanzania kuonekana zezeta. wote tuliwahi umande so yeye tu
 
Asante kwa ufafanuzi... kwahiyo article yangu wasomaji walinifananisha na huyu Lundenga? kweli Jamii Forum inawatu wanafurahisha rahisi kutoa link ya mtu sababu ya habari...

Huyu Mashaka na Economist Shayo wanatuaibisha sisi waTanzania, wanatufanya kuwa tuko nyuma kweli kifikra, kimaendeleo na kiutu

Wanaweka habari zao kwa Issa Michuzi ili kujipendekeza kwa Serikali na sasa naowana humu ndani ya Jamii Forum...
 
Ustaadh. Heshima mbele, lazima nikiri kwamba, mashaka ni moja wa vijana wachache wenye vipaji ya aina yake. Kijana ana akili kweli na sitabisha akiitwa genius. Na wala siyo mtu wa kujikomba, serikali inamuona mwiba to be honest. Tatizo na mashaka ni kwamba, amesoma shule za kata. Ni mtoto wa mkulima, kinachonishangaza ni kuishikilia kasumba ya wazungu ya kutumia kiingereza kwenye kila kitu. Mashaka ameanzisha vita dhidi ya wageni anaowaita wawekezaji uchwara hsa wachina. Ujumbe kwa mashaka, tumia kiswahili. umesomea shule ya sekondari ya segerea leo hii umekuwa mzungu?

Mashaka anadiriki kuingia kwenye ITV na kusambaza chuki dhidi ya wawewekezaji ambao JK anatumia hela nyingi sana kuwaleta kuwekeza Tanzania. Kwa maana hiyo huyu kijana hada adabu na mkuu wa nchi au serikali ya nchi. Mashaka ni mmoja wa wale waislamu wenye itikadi kali ambao wanaona uislamu ndio dini pekee. Haya makala yake ni chuki binafsi kwa wakristo kama siye

Shayo simjui kihivyo ila ni mwalimu chuo kikuu huria pale biafra. anafundisha masomo ya biashara na uchumi
 
y
Ustaadh. Heshima mbele, lazima nikiri kwamba, mashaka ni moja wa vijana wachache wenye vipaji ya aina yake. Kijana ana akili kweli na sitabisha akiitwa genius. Na wala siyo mtu wa kujikomba, serikali inamuona mwiba to be honest. Tatizo na mashaka ni kwamba, amesoma shule za kata. Ni mtoto wa mkulima, kinachonishangaza ni kuishikilia kasumba ya wazungu ya kutumia kiingereza kwenye kila kitu. Mashaka ameanzisha vita dhidi ya wageni anaowaita wawekezaji uchwara hsa wachina. Ujumbe kwa mashaka, tumia kiswahili. umesomea shule ya sekondari ya segerea leo hii umekuwa mzungu?

Mashaka anadiriki kuingia kwenye ITV na kusambaza chuki dhidi ya wawewekezaji ambao JK anatumia hela nyingi sana kuwaleta kuwekeza Tanzania. Kwa maana hiyo huyu kijana hada adabu na mkuu wa nchi au serikali ya nchi. Mashaka ni mmoja wa wale waislamu wenye itikadi kali ambao wanaona uislamu ndio dini pekee. Haya makala yake ni chuki binafsi kwa wakristo kama siye.

Shayo simjui kihivyo ila ni mwalimu chuo kikuu huria pale biafra. anafundisha masomo ya biashara na uchumi
FO, kuna baadhi ya Watanzania waliobahatika kuwa na vipaji na kupata exposure kwenye nchi za wenzetu wanaitumia exposure hiyo kuwanyanyapaa Watanzania kwa kuendekeza mental slavery ya kukumbatia ukoloni wa lugha ndani ya bongo zao hivyo kujikuta kila wanachoandika wanawaandikia wazungu ambao ndio wanaowapa kula yao ili hao wazungu wazidi kuwatukuza kumbe wanawasifu huku wanawadharau!.

Halafu jukwaa lao ni kule kwa kusifiana kwa mapambio, kila siku huwa najiuliza kama wanajua majukwaa yanayokata issue kama humu jf, kwanini hawaji humu in person?. Au wanaogopa critique kwa vile kule ni kusifiana tuu!.

Yohana Mashaka, ondoa mashaka na jf kwa kujiunga nasi, weka hoja zako kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili lete humu tukate issues kwa maslahi ya taifa na sio kwa maslahi ya wazungu unaowatumikia!.
 
Tunaanza kuchoka na huyo Mashaka Genius, halafu mbona mna mpamba kishamba sana huyu kijana. Kwani ni yeye tu banker kuna watoto UK wapo 'Canary Wharf' na wapo kimya tu sumbesu huyo Mashaka. Kuna watoto wanatengeneza sinema si hizi za kina kanumba na wapo kimya.

Sioni kwanini mna angaika na huyu kijana na hadithi zake na ukweli wenyewe ni kwamba Mashaka anaandika pumba tupu amna lolote la maana zaidi ya his good heart and his philanthropy commitment (mungu amzidishie) as for his genius claims, jamani tafadhalini msituchoshe. Something tells me in the US things are a bit easy mashaka hawi benka uingereza miaka mianane na maandishi yake niliyo wahi soma labda a tiller.
 
First,when talking about moral decay in our society there are 2 questions you must ask yourself (1) what is the cause? (2) what are the effects? Possibly the answer 1 is the poor raising from their "parents or guardians". Answer 2 is just what you have wrote.

Therefore we are not supposed to condem or blame those orgs. That much. What is just happening is the payment of the price of poor parenting.
The solution is to go back to our ROOTS the period of our ancestors where wisdom prevailed.

Second,It is just a bit correction about what you said about social responsibilty ( corporate social responsibility) this is when the corporate offer social services to the surrounding community. What you meant there was sponsorship i.e an organisation expect something in return and mostly publicity.
 
I agree with you. One question is this mashaka in Magamba (CCM) or Magwanda (CHADEMA)? because he sounds like a Magwanda type. he is using his intellectual ability to criticize JK government that is working diligently to bring investors like vodacom
 
Back
Top Bottom