G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,289
- 38,942
Hatimaye mgombea urais kwa tiketi ya CCM John Magufuli ameunda rasmi mtandao wake kuisaka ikulu, nimethibitisha.
Mtandao huo unajumuisha watu mbalimbali ambao ni makada wa CCM walioahidiwa vyeo ili kupiga kampeni kufa kupona John Magufuli aweze kwenda ikulu. Ifuatayo ni orodha rasmi ya mtandao huo.
1) Waziri mkuu - William Lukuvi
2) Spika wa bunge - Samwel Sitta
Wapo walioahidiwa uwaziri kama January Makamba, Angela Kairuki, Asharose, Mwakyembe, Mwantumu Mahiza, Umi Mwalimu (Kati ya hao Kairuki, Mwantumu Mahiza na Mwalimu watapewa ubunge wa kuteuliwa.
Pia watakaoula kwenye ubunge wa kuteuliwa ni Benard Membe ambaye anatarajiwa kuwa waziri na Paul Makonda.
Aidha nimedokezwa kuwa Prof. Ibrahim Lipumba amependekezwa kuwa mshauri wa Magufuli kuhusu mambo ya kiuchumi huku Willbrod Slaa akizawadiwa ubalozi wa Tanzania nchini Finland.
Katika hatua nyingine nimedokezwa pia kuwa Lowassa amempendekeza Prof. Lipumba kuwa mbunge wa kuteuliwa na baadaye waziri wake wa fedha ikiwa atafanikiwa kuingia ikulu!