alwatanwakeko
New Member
- Jul 30, 2015
- 4
- 1
Izo nindoto zamchana kupwe
Hili jukwaa lina watoto wengi sana kifikra.hizo ni fikra zako tuu, lakini umejitahidi kutumia akili zako kujaribu kubuni mawazo ya Raisi Mtarajiwa. kitu cha kushangaza utapata wengi tuu wakuamini ulichoandika hapaJF. huwa watu wana comment in agreement bila ya kujiuliza jee pana kaa ukweli hapa au ni propaganda na uzushi.
John Magufuli hahitaji mitandao yeye katengezewa mporomoko na Lowassa
fkingjesus..this is awesome
membe again? they cant b serios..ss hapo magufuli ndio tunachosema ww unataka uingie ikulu kuendeleza utawala wa mkwere..
Wewe ni kama mbwa koko kabisa. Tangu lini katiba ikaruhusu serikali msetoPrivate team ya Magufuli ina watu 5 tu, Dr Mfugale, N Mchechu, Urio, Dr Dau na DG wa NHIF na B Nyoni. Hao wote ni wabunge na mawaziri watarajiwa! Magafuli anaposema yeye ni kazi tu HATANII kuna baadhi ya wabunge wa upinzani wakipita wana nafasi ya uwaziri kwa JPM nao ni Zitto, Lembeli na H Mdee! stay tuned.
Pombe ni wa kuogopa kama ukoma
maghufuli akichaguliwa kuwa rais atakuwa rais hovyo kuliko hata jk. maana amesha haidi kugawa vyeo kama njugu kwa makada wa ccm hata wale walioshindwa kura za maoni ndani ya ccm. watanzania tuikatae ccm kwa matendo yake yote.
Hatimaye mgombea urais kwa tiketi ya CCM John Magufuli ameunda rasmi mtandao wake kuisaka ikulu, nimethibitisha.
Mtandao huo unajumuisha watu mbalimbali ambao ni makada wa CCM walioahidiwa vyeo ili kupiga kampeni kufa kupona John Magufuli aweze kwenda ikulu. Ifuatayo ni orodha rasmi ya mtandao huo.
1) Waziri mkuu - William Lukuvi
2) Spika wa bunge - Samwel Sitta
Wapo walioahidiwa uwaziri kama January Makamba, Angela Kairuki, Asharose, Mwakyembe, Mwantumu Mahiza, Umi Mwalimu (Kati ya hao Kairuki, Mwantumu Mahiza na Mwalimu watapewa ubunge wa kuteuliwa.
Pia watakaoula kwenye ubunge wa kuteuliwa ni Benard Membe ambaye anatarajiwa kuwa waziri na Paul Makonda.
Aidha nimedokezwa kuwa Prof. Ibrahim Lipumba amependekezwa kuwa mshauri wa Magufuli kuhusu mambo ya kiuchumi huku Willbrod Slaa akizawadiwa ubalozi wa Tanzania nchini Finland.
Katika hatua nyingine nimedokezwa pia kuwa Lowassa amempendekeza Prof. Lipumba kuwa mbunge wa kuteuliwa na baadaye waziri wake wa fedha ikiwa atafanikiwa kuingia ikulu!

Hvi samweli sita anagombea jimbo gani?