John Magufuli aunda rasmi mtandao kuisaka ikulu

John Magufuli aunda rasmi mtandao kuisaka ikulu

maghufuli akichaguliwa kuwa rais atakuwa rais hovyo kuliko hata jk. maana amesha haidi kugawa vyeo kama njugu kwa makada wa ccm hata wale walioshindwa kura za maoni ndani ya ccm. watanzania tuikatae ccm kwa matendo yake yote.
 
Hatimaye mgombea urais kwa tiketi ya CCM John Magufuli ameunda rasmi mtandao wake kuisaka ikulu, nimethibitisha.

Mtandao huo unajumuisha watu mbalimbali ambao ni makada wa CCM walioahidiwa vyeo ili kupiga kampeni kufa kupona John Magufuli aweze kwenda ikulu. Ifuatayo ni orodha rasmi ya mtandao huo.
1) Waziri mkuu - William Lukuvi
2) Spika wa bunge - Samwel Sitta

Wapo walioahidiwa uwaziri kama January Makamba, Angela Kairuki, Asharose, Mwakyembe, Mwantumu Mahiza, Umi Mwalimu (Kati ya hao Kairuki, Mwantumu Mahiza na Mwalimu watapewa ubunge wa kuteuliwa.

Pia watakaoula kwenye ubunge wa kuteuliwa ni Benard Membe ambaye anatarajiwa kuwa waziri na Paul Makonda.

Aidha nimedokezwa kuwa Prof. Ibrahim Lipumba amependekezwa kuwa mshauri wa Magufuli kuhusu mambo ya kiuchumi huku Willbrod Slaa akizawadiwa ubalozi wa Tanzania nchini Finland.

Katika hatua nyingine nimedokezwa pia kuwa Lowassa amempendekeza Prof. Lipumba kuwa mbunge wa kuteuliwa na baadaye waziri wake wa fedha ikiwa atafanikiwa kuingia ikulu!

mitandao hii ya kifisadi ndiyo inayotuharbia nchi yetu.

magufuli hafai hata kwa bure kwani kuna upendeleo wa ajira na kupeana vyeo kwa kujuana.
 
LOWASSA NDIYE RAIS WAKO
 
hizo ni fikra zako tuu, lakini umejitahidi kutumia akili zako kujaribu kubuni mawazo ya Raisi Mtarajiwa. kitu cha kushangaza utapata wengi tuu wakuamini ulichoandika hapaJF. huwa watu wana comment in agreement bila ya kujiuliza jee pana kaa ukweli hapa au ni propaganda na uzushi.

John Magufuli hahitaji mitandao yeye katengezewa mporomoko na Lowassa
 
CCM ni lakuvunda!. Halihitaji ubani!.
Hao wote wanaojipanga au kupangwa, wataula wa chuya!.

Lowassa ni mpango wa Mungu!. Alilolipanga Mungu binadamu hawezi kulipangua!. Unless kama CCM ndio mpango wa Mungu hivyo Lowassa ni mpango wa shetani disguised as God!.

Ikiwa hivyo, then God forbid!, kama Adam na Eva aliyewaumba mwenyewe walifall into the devil's trap!, who are we not to?!.

Pasco
 
maghufuli akichaguliwa kuwa rais atakuwa rais hovyo kuliko hata jk. maana amesha haidi kugawa vyeo kama njugu kwa makada wa ccm hata wale walioshindwa kura za maoni ndani ya ccm. watanzania tuikatae ccm kwa matendo yake yote.

kwani kavunja kanuni ipi hata kama ni kweli....
kuahidiana vyeo mbona kawaida sana kwenye kampeni za siasa...
obama alimwahidi hilaly clintoni uwaziri wa mambo ya nje ili amuunge mkono baada ya hilaly kukatwa.

netanyau miezi iliyopita alikua akihaha kuahidi vyeo kwa wanasiasa ili kuunda coalition ya ushindi
 
Mmmmmm mpaka 25th Oct tutaona na kushuhudia mengi mnoooooooooo
 
Kama ndio hivyo jamaa kakosea mno anapaswa kuja na proposal ya baraza jipya la mawaziri sio hao waliozoeleka, hao ni wale wale itakuwa serikali ile ile!Hakika hatukupi kura. Magufuli ukitaka kumshinda Lowasa sema wazi hutoweka rafiki kwenye baraza la mawaziri pili sisitiza sura utakazoziweka zitakuwa mpya
 
Kama ni kweli, basi kidogokidogo anaanza kupoteza uelekeo kabla hajashindwa. Alipokuwa anatuhaidi mambo kama yeye Dr. Magufuli, nilikuwa namuelewa zaidi kuliko atakapo simama na team yake kama CCM.

Na hapo ndipo mnapokosea kabisa coz jamaa lazima afuate mfumo wa CCM...apende asipende unless anataka awe dictator!

Kitu muhimu ni kuiondoa CCM madarakani ndiyo tutakuwa tumetatua tatizo.
 
Ukichagua Magufuri utakuwa umechagua uozo wa sasa kuendelea. Nawashangaa sana wanaosema kwamba ''Magufuri ni mchapa kazi na ataleta mabadiriko''. Mabadiriko gani wakati atakuwa kazungukwa na akina Membe, Sitta, Makamba, Mwakyembe, Lukuvi, Wassira et al!?
 
Ukawa safari hoi hawatoki nje wakati wa hotuba kama magufuli akishinda,no kuzomea mwanzo mwisho ili hotuba isisikike
 
Back
Top Bottom