john kitime tena>

john kitime tena>

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
Jamaa alikuwa anamdai mwenzie laki tano lakini kukawa na kukwepana kwenye kulipa , akaona aende kwa mwanasheria; JAMAA: Jirani yangu namdai laki tano inaonekana anataka kukwepa kulipa nifanyeje? MWANASHERIA: Una ushahidi? JAMAA: Kwa kweli sina tulipeana kindugu hatukuandikishana MWANASHERIA: Basi muandike barua mdai shilingi milioni moja yako JAMAA: Lakini namdai laki tano tu MWANASHERIA: Haswa, tunachotaka arekibishe hilo kimaandishi ili tuwe na ushahidi toka kwake mwenyewe
 
Hahahahaaa! Red Giant nimepata point hapa... naitumia kupata mali yangu leo!
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa mim nieleweshe

haka kapointi kako hiviii....

kwa mfano unamdai mheshimiwa Excel shs 1000 lakini kawa anagoma kukulipa kwa vijisababu ambavyo wewe havikuhusu... wewe ili umkamate na kidhibitisho (as long as huna ushahidi wa maandishi.. oral contract), inabidi umuandikie barua ya kumdai ambayo utazidisha deni mara 2!!!

sasa ili jamaa akane kuwa hadaiwi kiasi kile, ataandika deni sahihi!....dadeki zake!

Tushamkamata hivyo...
 
Ahhahha asante kwa kweli nimeelewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom