John kamuweza mwalimu

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,321
2,490
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....
Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!
John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......
,,,,,,,,,,,,,
John
 
Back
Top Bottom