Umeeambiwa ni kachero mbobezi na ni One Star General, unataka nini? Vyeti?kila laheri kwake japo ingependeza kama ungeweka wasifu wake kidogo
Hivi Bwn.Diwani alimkamata na kumtia nguvuni nani na nani?Huyu jamaa yupo vizuri, kama Diwani Athumani; hawana makeke wao wanakunyemelea kimyakimya wanakutia nguvuni!
Kwa nini mnampangia RaisDiwani Athumani na Mlowola waliokuwa Wakurugenzi walijifunzia wapi ?
Kwanini asingepewa from day one kama arguement yako ni Sahihi ?
UVCCM utoto wenu unatia Kinyaa sana
Kwa hiyo wewe ndio unampangia ?Kwa nini mnampangia Rais
Kama wasemavyo ya MUNGU mengi ndiyo hivyo na ya JMP ni mengi na tusikalili kwamba kila mtu anapokaimu ndio atachukua nafasi ya aliyejuu pindi atakapoondolewa. Tumwachie Mungu atakavyomuongoza Rais wetu Kuchagua atakayefaa kuchukua ukuu huoJJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.
Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.
Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.
Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Aliondolewa Mlowol,Jamaa akiwa ana kaimu,akaletewa Diwani,anaweza pia akaletewa mwingineKama wasemavyo ya MUNGU mengi ndiyo hivyo na ya JMP ni mengi na tusikalili kwamba kila mtu anapokaimu ndio atachukua nafasi ya aliyejuu pindi atakapoondolewa. Tumwachie Mungu atakavyomuongoza Rais wetu Kuchagua atakayefaa kuchukua ukuu huo
JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.