John Julius Mbungo, Mkurugenzi msaidizi wa TAKUKURU 'kachero' mwandamizi aliyeandaliwa kwa muda sasa aje kuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo

JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.

Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.

Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Acha kumchawia jembe sana yule, waliofanya nae kazi pale kawe wanamjua
 
JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.

Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.

Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Nyepesi nyingine zinasema asipopewa hapo anaenda kuwa mnadhimu wa Jeshi la wananchi
 
Tatizo ni Mfumo sio TAKUKURU, Nadhani wanapaswa kuongezewa meno ya kuchunguza, kukamata na kushitaki hapo tunaweza kuoata mafanikio makubwa
 
JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.

Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.

Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Acheni ramri utamuharibia asiteuliwe
 
Unajipigia debe? Hawakupi ng'o. Halafu Jiwe hayuko hivyo. Ungekuwa unafaa ungekuwa juu ya Valentino Mlowola immediately ulipotoka TPDF. Mbona cheo chako chenyewe katika military ranking kiko juu kuliko hawa Mapolice waliokuwa mabossi wako? Jiulize kwa nini walikuwa hawakupigii salute, utapata majibu.

Mwenye nafasi yake msubiri tu Alhamisi ijayo aje uendelee kumpugua salute
 
Kutokana na mizizi ya rushwa TAKUKURU baada ya kuhuishwa sasa inaenda kuwa msingi wa mabadiliko ya kimkakati kwa taasisi zote.

Inawezekana macho yangu yana makengeza lakini naona kama TAKUKURU siku hizi imepooza. Aidha sisikii viongozi wetu wakizungumzia ile ripoti ya Mzee Warioba ambayo ilipaswa kuwa ndiyo dira. Naona kama TAKUKURU haipo huru tena kufanya kazi zake!
 
Jamaa yuko vizuri.
images.jpeg
 
Unajipigia debe? Hawakupi ng'o. Halafu Jiwe hayuko hivyo. Ungekuwa unafaa ungekuwa juu ya Valentino Mlowola immediately ulipotoka TPDF. Mbona cheo chako chenyewe katika military ranking kiko juu kuliko hawa Mapolice waliokuwa mabossi wako? Jiulize kwa nini walikuwa hawakupigii salute, utapata majibu.

Mwenye nafasi yake msubiri tu Alhamisi ijayo aje uendelee kumpugua salute
wacha hiyooo mbayaa.
 
Ni Kachero Mbobezi wa Viwango vya Benard Kamilius,

Bin Kamilius alifikia kujifanya Muuza Spare za Magari kwa Miaka mitano kule Kampala miaka ya mwisho ya 1970s

Jeshi letu la Wananchi likasifiwa kwa kushinda vita huku tukisahau ‘Wachonga njia’ ya ushindi huo

Naamini Jasusi Mkuu Diwan Athuman atatungenezea kina Membe na Mahiga wa kutosha kwa kizazi kijacho
Powerful!
 
Majina yanayoanza na J yana akili sana, chunguza.

John.. Julius.. Jesus.. Joseph.. Jackson.. Jefferson.. James.. Joshua..

Chunguzeni kuna siri gani kwa wanaume wanaoanza na J.
 
Cheo chake bado kidogo kuwa Mnadhimu. Mara nyingi Mnadhimu ni Lut. Generali
Tatizo hauielewi mifumo na kanuni za upandishaji wa vyeo vya majeshi.
Cheo kuanzia Lt col kuendelea, anaweza kurushwa kwenda cheo chochote hadi general kwa mkupuo.

Ref: General Twalipo ( retired, Rip), alikuwa na cheo cha Lt col akiwa RC Kagera, alirushwa hadi general kwa mkupuo na kuwa mkuu wa majeshi.
 
JJ Mbungo, Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa TAKUKURU.

Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.
Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Kwani wewe Msigwa?
 
Diwani Athumani na Mlowola waliokuwa Wakurugenzi walijifunzia wapi?

Kwanini asingepewa from day one kama arguement yako ni Sahihi?

UVCCM utoto wenu unatia Kinyaa sana

umeshaambiwa kachero mbobezii
 
Kutokana na mizizi ya rushwa TAKUKURU baada ya kuhuishwa sasa inaenda kuwa msingi wa mabadiliko ya kimkakati kwa taasisi zote.
Wakiweza kuwakamata wale wanaotoa rushwa katika chaguzi za CCM ndo ntaona wapo siriaz.
 
Back
Top Bottom