Prof. Kabudi na kuhudhuria kuapishwa kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,027
144,381
Miongoni mwa watu waliohudhuria shughuli ya kuapishwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo hii, Brigedia Jenerali John Julius Mbungo, ni Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi ambae pia ndio kiongozi wa jopo linaloiwakilisha Tanzania katika mazungumzo baina ya serikali na kampuni ya Barrick kuhusiana na issue ya makinikia

Sasa najiuliza sijui aliacha mazungumzo yanaendelea ndio akaenda kuhudhuria hiyo function?

Kama ni hivyo, sijui kama kweli tuko serious au ndio dalili kazi hiyo imeisha au inakaribia kuisha au ndio imeisha hata sielewi!

Au sijui wako break kwa sasa!

Anyaway, labda alikaa kwa muda mfupi na kisha kurejea kwenye mazungumzo.

Nawaza tu mwenzenu iwapo kuna serious negotiations zinaendelea alafu kiongozi unatoka kwenda kuhudhuria function ya kuapishwa kiongozi fulani.
 
Miongoni mwa watu waliohudhuria shughuli ya kuapishwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo hii, Brigedia Jenerali John Julius Mbungo,ni Waziri wa Katiba na Sheria, Prof.Kabudi ambae pia ndio kiongozi wa jopo linaloiwakilisha Tanzania katika mazungumzo baina ya serikali na kampuni ya Barrick kuhusiana na issue ya makinikia

Sasa najiuliza sijui aliacha mazungumzo yanaendelea ndio akaenda kuhudhuria hiyo function?

Kama ni hivyo, sijui kama kweli tuko serious au ndio dalili kazi hiyo imeisha au inakaribia kuisha?

Au sijui wako break kwa sasa!

Anyaway,labda alikaa kwa muda mfupi na kisha kurejea kwenye mazungumzo.

Nawaza tu mwenzenu.
Ni kweli tungependa kujua kitu gani kinaendelea. Mbona Rais alikuwa na shauku kubwa kutaka sisi tuelewe kuwa mazungumzo na Barick yangeleta mafanikio makubwa katika kile Rais anavyopenda kusema "Winn Winn Situation"? Sasa hiyo Situation imekuwa failure nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miongoni mwa watu waliohudhuria shughuli ya kuapishwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo hii, Brigedia Jenerali John Julius Mbungo,ni Waziri wa Katiba na Sheria, Prof.Kabudi ambae pia ndio kiongozi wa jopo linaloiwakilisha Tanzania katika mazungumzo baina ya serikali na kampuni ya Barrick kuhusiana na issue ya makinikia

Sasa najiuliza sijui aliacha mazungumzo yanaendelea ndio akaenda kuhudhuria hiyo function?

Kama ni hivyo, sijui kama kweli tuko serious au ndio dalili kazi hiyo imeisha au inakaribia kuisha?

Au sijui wako break kwa sasa!

Anyaway,labda alikaa kwa muda mfupi na kisha kurejea kwenye mazungumzo.

Nawaza tu mwenzenu iwapo kuna serious negotiations zinaendelea alafu kiongozi unatoka kwenda kuhudhuria function ya kuapishwa kiongozi fulani.
Huyo bila kutumia rasilimali za nchi kumsitiri hakuna namna,hawezi jisitiri.Baada ya sanaa zao sana vyuoni na kuitwa manguli km akina chuji ,mwishowe wanafunzi wa matapishi yao huwaigiza uwanjani eti wakashinde mechi. Wakiiingia uwanjani siku ya mechi ya Zamaleki(Lissu) huwa misuli inawabana au wanadai wamekosewa heshima.

Wajamaa ni km minyoo, wanakaa panono, hawakai pa kuzalisha ndio maana hawajui hasara wala faida, wala hawajui time inapita.Na mwisho huwa wanamuua host wao(Mwananchi), baadae ndio yanaanza kulia sana..
 
Mambo yalikuwa kwa mbwembwe kweli tukaambiwa wametuibia, mara wanaume wamekuja, wamekubali kulipa, wamekuja kwa majadiliano ila lililoendelea huko kwenye majadiliano ni siri eti kwa maslahi ya taifa.
 
Tumepigwa n ripoti uchwara za Prof uchwara aliyekuwa anasoma km yayaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh. Wajamaa ni wapuuzi ndugu yangu. Ile report wale jamaa sijui walipataje ile hesabu ya kodi. Eti walikuwa na bei ya kuuza dhahabu wakati hawana, hesabu ya gharama ya kuufikisha huo mchanga stage ya mwisho na kuipata hiyo dhahabu na madini shirikishi? Jamaa wanatia kinyaa hata kwa watz wasiosoma, hembu niambie watu wa dunia ya kwanza ambao hawataki mambo ya kubahatisha kwa vile wanaona hasara kwa mapana zaidi.
 
Mambo yalikuwa kwa mbwembwe kweli tukaambiwa wametuibia, mara wanaume wamekuja, wamekubali kulipa, wamekuja kwa majadiliano ila lililoendelea huko kwenye majadiliano ni siri eti kwa maslahi ya taifa.
Baadae nguli msuli ukabana. Niliwaambia watu hakuna kitu bongo, na sasa hivi ndio wamejaa vijana fulani ktk viti virefu vya baa huwa wanajidanganya sana wana inside story, wanaitana kuwa ni vichwa. walaini km nyanya kuwadanganya.Watakutajia vichwa ,ukiwa counter example, wanahmia kuwa tatizo ni Uzalendo hakuna. Eti wapo wapo kimaslahi km vile wanaongea kitu ya maana kweli kweli.Ukiwaambia masalhi gani wanaiba kijiga hivyo hadi wanashikwa km kuku,huku wameacha trace kila mahali?Wanahamia bongo,ukiingilia issue za watu wanakufix.Ukiendelea wanakuambia hujui bongo wewe, mara tuulize sisi..Ukimalizia kwa kuwauliza si ndio nawauliza watitirike majibu.Inakuwa shari.
 
Mambo yalikuwa kwa mbwembwe kweli tukaambiwa wametuibia, mara wanaume wamekuja, wamekubali kulipa, wamekuja kwa majadiliano ila lililoendelea huko kwenye majadiliano ni siri eti kwa maslahi ya taifa.
Baba Jesca amekuwa muongo sana, amesahau kuwa njia ya muongo ni fupi? Ona hata miaka miwili hajamaliza tayari mauongo lukuki hadi anasahau wapi kadanganya.
Mwishoe analazimika kutumia nguvu kuficha uongo wake na huku anaharibikiwa.
 
Ukiuliza mazungumzo yale mliyoyasubiri kwa mbwembwe kubwa na report fake zenu yameishia wapi?? Ukihoji utaambiwa uchochezi kwa manufaa Taifa....Siri mlianza kwenye mikataba ile 1998 leo mnalalamika wakati ni ma fisiem hao hao ambao leo wanasema siri.....kulikuwa na haja gani kutangaza live kupokea report ?? Kama kila kitu siri??
 
Back
Top Bottom