Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,343
Aya wamemaliza. Tvmlimani wameweka akielimu Tafakari,wanaonesha jinsi watoto wetu shuleni waliohaidiwa na jk kila mtu kuwa na komputa yake wanajifunza darasa lenye matobo na mwl anachora pc kwenye ubao na kufundisha ila anaonya kuwawangepata japo komputer moja wangeona mfano. Mtotn m1 ananong'ona kuwa bora mwl angekuja nacho ila walau waone. Iyo ndo hali halisi ya Tanzania. Mungu kibariki kizazi hiki!