John Heche Suguta kuwa live ktk Mlimani Tv

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Mpiganaji ndugu John Heche, M/kiti wa BAVICHA atakuwa kwenye kipindi Mlimani TV hapo saa 2.30 mpaka saa 3.30 usiku huu wa leo. Atakuwa akijadili KEKI YA TAIFA. Naomba kuwasilisha wakuu.
 
Twamsubiri kwa hamu. Naomba dowans wasilete zakuleta leo.
 
Sie wa mkoani tutamwonaje M/kiti wetu maana huku mlimani haionekani,ama kama inapatikana kupitia dish tunaomba frequency zake
 
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa Chadema yuko Live sasaivi Mlimani Tv
 
anasema live kwwa ni ni polisi wanaua raia?

anasema massawe alikuwa rpc akavurunda vibaya sasa badala ya kumshusha wakampandisha kuwa Rc apo tarime. Kasema serikali inaharibu na imekaa miaka 50 bila mafanikio.
 
Martha kauliza kutoka kilimahewa anataka kadi, teeh teeh teeh safari imeanza.
 
yani jamaa anatoa live na watu waelewe kampona masawe kichizi yani huyu jamaa ni noma na anajiamini
 
Mohammed toka kongowe anasema jaman serikali imewatupa kiajira mpaka wanatumikishwa. Kaimba Bavicha isaidie jaman. Aya,ilo jukumu jipya.
 
Mr Edward kutoka k.koo anasema vijana wengi wanataka kadi lakini wanashindwa pa kuzipata. BAVICHA sikiliza ilo.
 
Kamanda Heche anasema ccm imefika mwisho. Anasema vijana nape anasema wanakaa na kuongea ujinga eg cdm chama cha kichaga na upuuz mwingne? Kasema wasiwe na wasiwasi na makamu wake kuwa mwanafunz eti kuna wabunge wanafunzi lakini bado wanapeta. Pia yeye kawa diwani akiwa mwaka wa pili chuo. Makamu kasema Kazi ndo imeanza sasa
 
Mwongoza kpindi tangu mwanzo anasisitiza kutotaja majina sasa sijui ni kipindi cha mafumbo?? Uyu Hamis Hassan Damumbaya sijui vp,woga umemzidi. Kila ilipotajwa ccm,nape ,jk alikuwa anafuta kwa kupaza sauti yake.
 
Back
Top Bottom