Wakuu suala la vyeti naona Ni tatizo kubwa kwa viongozi wetu wengi!
Sio wa chama tawala tu bali hata wa upinzani pia!
Kuna tetesi Kama zile zile zinazomuandama mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam, mh Paul Makonda Na zilizomuandama waziri wa mambo ya ndani Mh Mwigulu, sasa tuhuma zinahamia upande wa wana siasa wa vyama vya upinzani, Na muhanga wa kwanza Ni Mh John Heche ambaye inasemekana jina lake halisi Ni Wegesa Charles lakini naye Kama hao wenzake, alibadilisha gia angani hadi akaitwa John Heche!!