John Heche na Chaha Heche ni mapacha?

ujasiri gani? , ambaoyeye anatokea kikabila kinaitwa wakira ni waoga na wanafiki wa kutpwa. uifika trm uwaulize hao wakira utashangaa walivyo vimeo ni waoga na wasemaji wa mambo wasiyoyaweza, hahahahahaaahaaaaaaaa, wanavaaa gamba la utarime hehehehehee

Kweli wewe ni mbwa kama unavyojiita!! na huna akili kabisa na umedhihirisha uzoba wako!!
Hapa unamwongelea huyo Heche au kabila lake? Maana naona wewe issue sio Heche au uwezo wake as an individual, no ! it seems you have a major problem with WAKIRA!

Nyie ndo mnaenda shule lakini hamuelimiki, bado una ubaguzi wa ki - koo, kwamba huyu ametoka koo ya wakira , huyu katoka bunchari nk.; matokeo yake mnaendeleza vita za kikoo kila kukicha.

Huna haki kabisa mbwa wewe kutukana watu wa kabila zima kwa sababu tu wewe una personal grudges na huyo Heche. Grow up you little piiece of shit !!

Kwa taarifa yako mimi ni Mtanzania mwenye asili ya huko kwa Wakira and i can assure you, am a better man 100 times over than you are or you will ever be !!!
 
jAMANI MAGAMBA KWELI HAYAFICHIKI.
Wilayani Simanjiro, katika kitongoji cha ORKESMET kuna kiongozi wa CCM ameenguliwa kugombea uenyekiti kwa kutokujua kusoma na kuandika.
Mtoa mada, katika karne ya sayansi na teknolojia, magamba hamjui kusoma na kuandika. Unahoji weredi wa HECHE,.. kamwe hutaujua.
 
Nadhani watakuwa sio ndugu, kama wangekuwa ndugu wote wangekuwa wanakaa kwa kaka yao pale Sinza mori, Heche si anakaa pale kwa kaka yake
 
sioni shida kama wote wanakidhi vigezo na masharti ya BAVICHA kwani katika chama suala la undugu halina nafasi bali uwezo wa kuongoza ndio iwe kigezo no 1.
<br />
<br />
Mheshimiwa nadhani hujamwelewa mtoa mada. Mi nilivyomwelewa ni kuwa inakuaje John Heche alipogombea BAVICHA alisema ana miaka 30, wakati mdogo wake wa damu (Chacha Heche) naye ana umri huohuo (miaka 30)??

So, mtoa mada anajaribu kuhoji uhalali wa mtu na mdogo wake kuwa na umri unaolingana. Na kama ndivyo je ni mapacha??

Kama sio mapacha basi John Heche huenda alifoji umri ili apate baraka za kugombea BAVICHA.

Na kama ndivyo itatukuta aibu kama iliyowakuta MAGAMBA pale Masauni alipofoji umri na kupata ridhaa ya kugombea UVCCM.

Kama mtoa mada hana lengo jingine, mi nadhani swali lake ni zuri tu na linapaswa lijibiwe kwa kina na mtu yeyote mwenye taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom