John Heche na Chaha Heche ni mapacha?

John Heche na Chaha Heche ni mapacha?

TUNTEMEKE

Platinum Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
581
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni mapacha ? kama siyo Chadema tuwe makin yale yale ya masauni yanaweza kuja kwetu
 
Kama ni hivyo basi hao ni mapacha, wanaowafahamu vizuri hebu watujuze?
 
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
 
sioni shida kama wote wanakidhi vigezo na masharti ya BAVICHA kwani katika chama suala la undugu halina nafasi bali uwezo wa kuongoza ndio iwe kigezo no 1.
 
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
wewe ni mnafiki acha kudanganya umma hakuna mpuuzi anayefanana na wewe bila shaka umetumwa na mafisadi pumbavu wewe
 
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?

Nemco ndio nini mkuu? mmeshaambiwa acheni kuparamia mambo msiyoyajua kwani Heche hujui wako wengi?!! ama ni dhambi mtu akiitwa heche?!! mmekalia majungu ya kizamani mtashikwa umbea..muulizeni yeye kama nyie mnajua wanalingana umri basi ni jukumu lenu nyie kuleta ushahidi sio majungu kwenye mitandao hiyo sio siasa...
 
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni mapacha ? kama siyo Chadema tuwe makin yale yale ya masauni yanaweza kuja kwetu

Majungu yatakuua wewe usilete tetesi kwenye siasa..No research No right to speak!!! njoo na ushahidi hapa sio majungu ya kizamani..nenda Facebook ndio wako watoto wenzio wanauza majungu sio hapa JF..
 
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni mapacha ? kama siyo Chadema tuwe makin yale yale ya masauni yanaweza kuja kwetu

labda ni mapacha, pengine hatujuia hilo
 
usipende kushabikia kama hujaelewa nimesema kuwa kama wote mtu na mdogo wake wana miaka 30yrs je siyo kwamba john heche ameghushi umri au yeye na mdogo wake ni mapacha nahisi kuna umasauni hapa , maana inavyosemekana masauni alianza shule akiwa tumboni mwa mama yake , CDM angalieni umri wanaghushi vijana wengi
Wapambe na yeye mwenyewe John Heche a.k.a diwani mstaafu kama yumo humu ajibu maana mie nimesiki awatu wansema nikaleta jamvini wajadili, na pia labda tuombe msaadawa david kafulila anajuwa kama ni mapacha
 
Mkuu nina uhakika hawa vijana si mapacha, sekondari waliachana kwa zaidi ya miaka 3, na huyu diwani mstaafu alikuwa akiitwa Wegesa na kamaliza 2000, najua wapo humu wataeleza😛hone:
 
Kaka ukisubiri John heche ajibu ni aibu hajui kutumia mtandao kabisa na labda wajibu wapambe wake , lakini kama hajui hata kutumia computer tutakuwaje na mwenyekiti wa namna hiyo, tunahitaji mtu msomi na mwelewa asiyeghushi umri , jasiri, hiyo ya ujasiri nisimunyonge inamfaa kabisa anayo , ila kwanini aforge umri???
 
ujasiri gani? yeye anatokea kikabila kinaitwa wakira, ambao ni waoga na wanafiki wa kutpwa. uifika trm uwaulize hao wakira utashangaa walivyo vimeo ni waoga na wasemaji wa mambo wasiyoyaweza, hahahahahaaahaaaaaaaa, wanavaaa gamba la utarime hehehehehee
 
Swali lilikuwa zuri ila majibu Mhmmmm! Labda hatujaelewa swali, ebu mtoa mada fafanua swali lako vyema ili ueleweke lengo lako, sitaki kuamini kuwa unafanya kampeni hapa wala lengo lako ni kumchafua mtu bali unataka kujua ukweli (Facts) wenye uhakika ili kujifunza kutokana na makosa!
 
Ndg. Mtoa mada Kuna habari kwenye Tanzania Daima la jumapili tar. 22 feb 2009 yenye kichwa cha habari "John Heche Suguta: Diwani aliyemstaafisha siasa Peter Zakaria" inamuelezea Heche alizaliwa 1981, alianza shule ya msingi 1988 Nyamahanga S/M, O'level Bulima S/S , A'level Musoma alliance kisha akaenda kusoma chuo cha ualimu Bunda kabla ya kwenda SAUT. Kwa hiyo kimsingi huu ndo mwaka wake wa 30 duniani na inawezekana haujafikisha rasmi au kaushafikisha rasmi inategemea na tar. na mwezi wa kuzaliwa...google Johh Heche utapata habari zake mi si mjuzi wa ku'upload kwa simu.
 
Mbona na mdogo wake anye ana miaka 30? wakati kishule walitofautiana madarasa matatu?, in short jamani John heche amefoji siyo ana miaka 30,
 
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
HTML:
mimi navyofahamu hawa vijana wote wamejitoa hadharani kupambania mabadiliko na siyo tamaha kama unavyodai na hata siasa za tarime inaonesha dhahiri anazimudu CHACHA HECHE mnyonge mnyongeni haki yake mpeni VIVA HECHE FAMILY
 
Nemco ndio nini mkuu? mmeshaambiwa acheni kuparamia mambo msiyoyajua kwani Heche hujui wako wengi?!! ama ni dhambi mtu akiitwa heche?!! mmekalia majungu ya kizamani mtashikwa umbea..muulizeni yeye kama nyie mnajua wanalingana umri basi ni jukumu lenu nyie kuleta ushahidi sio majungu kwenye mitandao hiyo sio siasa...

Ni kweli mkuu, nadhani kuna watu wapo hapa kuendekeza majungu.
Majina yasiwafanye kuhukumu watu, Kwani Benjamin Mkapa na Keneth Mkapa walikuwa ndugu?
Na hata kama ni ndugu, what's wrong kama wanavyo vigezo vya kuongoza BAVICHA?
 
Kaka ukisubiri John heche ajibu ni aibu hajui kutumia mtandao kabisa na labda wajibu wapambe wake , lakini kama hajui hata kutumia computer tutakuwaje na mwenyekiti wa namna hiyo, tunahitaji mtu msomi na mwelewa asiyeghushi umri , jasiri, hiyo ya ujasiri nisimunyonge inamfaa kabisa anayo , ila kwanini aforge umri???
<br />
<br />
bila shaka tumeshakujua sasa. Mwanzoni ulijifanya unataka kujua kama hawa jamaa ni mapacha. Sasa tumegundua unachuki binafsi. Inawezekana umetumwa na akina Nyakarungu waliopigwa chini na Mh. John Heche mpambanaji wa kweli, aliyejitolea kwa moyo wote kuwasaidia vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla. Suala la kusema kuwa Heche hajui computer siyo point bali pumba tu.
 
Back
Top Bottom