residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,528
- 13,449
Yupo sahihi kabisa.Hizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Yupo sahihi kabisa.Hizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Ukitaka kudanganya usidanganye kupita kiasiHizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Heche na Lisu ni kiwanda cha uzalishaji uongo CHADEMAHizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Na bado mlisifia na kuuaminisha umma🤔Hivi tulikuwa na watu ambao wanatusinitch!
Ndiyo maana watu walikipuuza chama kumbe sababu ya mapandikizi haya.
Msigwa alikuwa sahihi.
Alijua nani mkweli nani tapeli.
Mbowe ulitukosea sana tungeshafika mbali na dubwana hili CCm
Chanel ina subscribers 112 tu, sidhani kama kuna ukweli hapoHizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
WAtakula ubwabwa nyama siku hiyoMchagga ni mchagga tu 😂😂😂
Huu ujinga akaufanye Chaumma kama hawajamchoma Moto 🐼
Mkuu inawezekana kabisa mtu mwenye YouTube channel ya subscribers laki nne kulipwa milioni 3 kwa wiki ikiwa na deals za udhamini (sponsorships), Anapata views nyingi kutoka diaspora (CPM ya juu), Anatumia njia nyingine kama affiliate marketing, super chats, au merchandise.Hizi ni siasa,
U tube channel uwe na followers laki nne ulipwe 3 ml per week🙄
Tuache uzushi, siasa za maji taka hatuzitaki.
Heche Rudi kwa mstali🙏
Dah ame disco BAED? kichwa ndege kabisa huyoJohn mrema tangu amalize/ adisco UDSM 2006 ( BAED) Hajawahi kufanya kazi nyingine yyte zaidi ya chadema
Naweza kuthibitisha
Wasaidie ndugu zetu wabongo akili, wakishakariri mambo huko fomfoo kazi yao ni kupinga tu hawajui dunia inaendeshwa kwa akili na maarifa na kuna watu wamelala ndani tu wanakunja pesa mtandaoni wakati wakaririshwaji wapo kwa mkapa kutazama yanga na simba!Mkuu inawezekana kabisa mtu mwenye YouTube channel ya subscribers laki nne kulipwa milioni 3 kwa wiki ikiwa na deals za udhamini (sponsorships), Anapata views nyingi kutoka diaspora (CPM ya juu), Anatumia njia nyingine kama affiliate marketing, super chats, au merchandise.
Ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia.Kulikuwa na mchwa wengi sana ndani ya chama
Hii inawezekana kabisa.Alikuwa anakingiwa kifua toka kwa Mzee Mbowe.
Kapokonywa tonge mdomoni lazima vilio viwe vingiUkiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimemuingia.
Ile kulalamika Mara G55 n.k ilionesha wazi jamaa either hakujiandaa kisawa sawa kuachia au alikueupushwa.
Tatizo hawasomiWasaidie ndugu zetu wabongo akili, wakishakariri mambo huko fomfoo kazi yao ni kupinga tu hawajui dunia inaendeshwa kwa akili na maarifa na kuna watu wamelala ndani tu wanakunja pesa mtandaoni wakati wakaririshwaji wapo kwa mkapa kutazama yanga na simba!
Na yule aliyesema tonetone inaenda kunulia MPOX NA EBOLA JE?Inawezekana Mrema alikuwa anakula hela za Youtube ila haiwezekani iwe 3m kwa wiki. HUO NI UONGO. Heche ni mtambo wa uzushi.