-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,798
Hicho ndo huwa unaita hoja bwana chawa kilaza mchumia tumbo.πππheche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?
maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia π
Chizi Fulani hivi
Anguko la wizi wa kura ama nini?Chuki imeasisiwa na genge la kihuni la Lissu.Mtapata anguko kubwa sana yatawarudi
Mbowe yuko vizuri Saikolojikale kamlete yeye ahojiwe.body language, tone and facial expressions of the gentleman tells everything π
Anguko la LISSU NA VIBAKA WENZAKEAnguko la wizi wa kura ama nini?
Hakuna chuki hapo ni ukweli mtupuPunguza chuki mkuu. Sio nzuri kwa afya.
ni muhimu zaidi kumsaidia huyo muungwana gentleman πMbowe yuko vizuri Saikolojikale kamlete yeye ahojiwe.
ni muhimu sana na kwakweli ni upendo kumsaidia huyo muungwana kuliko kumpa kichwa zaidi, ataumia na kuathirika zaidi gentleman πHicho ndo huwa unaita hoja bwana chawa kilaza mchumia tumbo.πππ
Gentleman,Nawe atakuwa amekukosha
ni muhimu zaidi kuzingatia afya na saikolojia ya huyo muungwana ndrugu zango,Heche wa ccm ati ni Mzee wasira, ccm akili zenu mnazijua wenyewe,
Hivi mkuu uzi wenu mpya ambao umechanganya rangi kama nguo ya Mganga wa kienyeji ,ndo wenyewe au bado designer yupo kazini
acha upotoshaji gentleman,Heche yuko very smart upstairs
π π π watakubali tuKatika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni π₯!
gentleman,Kwamba umegeuka mtaalam wa afya? Politician wa jf bwana πππ
CNS iko intactHeche yuko very smart upstairs
kwa ukali wa heche na anavyojenga hoja na kujieleza, ukitazama na nuru ilivyopotea na alivyokongoroka, kabisa unaona muungwana anaehitaji kusaidiwa kiafya na kisaikojia, iko shida anapitia,Kwahiyo ukiwa mkali unakuwa haupo sawa.
Nyumbu wamegeuka praise team.Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni π₯!