Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Watanzania wanahitaji elimu ya utangazaji, sio kila unayemuona kwenye mic ni mtangazaji!, John Dilinga Matlou ni DJ JD! Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.Kifupi huyu jamaa kwa kumtazama ni mbadala sahihi wa.
Aaiseeee hataaa ajazikwaaa mshafanyaa uteuziii khaaaWakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku kilibamba sana. Kilikuwa na engagement ya kutosha. Alikuwa influential redioni. Kabla ya hapo nadhani alikuwa Radio One. Baada ya hapo sikumbuki sana ila mara nyingi nilimsikia kwenye udj, hasa wa zile nyimbo zetu pendwa za old school. Kitambo nikimsikia Las Vegas Casino ambapo baadae ikaitwa Isumba Lounge.
Kifupi huyu jamaa kwa kumtazama ni mbadala sahihi wa marehemu. Ni mtangazaji mahiri na mtulivu awapo kwenye mic. Ni mkongwe, jamii ya marehemu. Atafaa sana kuliongoza jahazi akisaidiwa na wabakiaji Mussa na George.
Siku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??Watanzania wanahitaji elimu ya utangazaji, sio kila unayemuona kwenye mic ni mtangazaji!, John Dilinga Matlou ni DJ JD! Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.
- Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou
- Tune In " Mtaa wa Mangoma" Radio One, The Legend, John Dilinga Matlou Ananikosha Sana!.
P
Hivi,kiumri wanaachana miaka mingapi na marehemu Gadner?Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku kilibamba sana. Kilikuwa na engagement ya kutosha. Alikuwa influential redioni. Kabla ya hapo nadhani alikuwa Radio One. Baada ya hapo sikumbuki sana ila mara nyingi nilimsikia kwenye udj, hasa wa zile nyimbo zetu pendwa za old school. Kitambo nikimsikia Las Vegas Casino ambapo baadae ikaitwa Isumba Lounge.
Kifupi huyu jamaa kwa kumtazama ni mbadala sahihi wa marehemu. Ni mtangazaji mahiri na mtulivu awapo kwenye mic. Ni mkongwe, jamii ya marehemu. Atafaa sana kuliongoza jahazi akisaidiwa na wabakiaji Mussa na George.
We subiri itoke siku utamuona dotto magari au mandonga wamekuwa watangazajiSiku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??
Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.Siku hizi Ukisikiliza wanaojiita wandisha wa habari wanauliza Swali unatamani ujifukie...Hivi jameni ni nn kimetokea kwenye hii tasnia ya habari??
alikuwa Times FM miaka ya 2008 hivi kipindi flani cha music cha usiku saa 3Baada ya hapo sikumbuki sana
Bila shaka age mate waleHivi,kiumri wanaachana miaka mingapi na marehemu Gadner?
Jahazi liendeleeAaiseeee hataaa ajazikwaaa mshafanyaa uteuziii khaaa
Asante mkongwe kwa taarifa yako, na mabandiko yako. Kwako sina la kupinga sana. Kwa JD pia licha ya udj, amekuwa mtangazaji. Siamini kama atashindwa kazi hiyo hasa ukizingatia sio taarifa ya habari ile bali ni maongezi fani hivi changamfu yakisindikizwa na muziki. Anaweza kuwezaWatanzania wanahitaji elimu ya utangazaji, sio kila unayemuona kwenye mic ni mtangazaji!, John Dilinga Matlou ni DJ JD! Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.
- Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou
- Tune In " Mtaa wa Mangoma" Radio One, The Legend, John Dilinga Matlou Ananikosha Sana!.
P
Duniani Kuna taaluma tatu tu.Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P
Kifo kweli hakina huruma, mtu hata bado hajazikwa tayari amesha patikana wa kuchukua nafasi yake kazini.Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku kilibamba sana. Kilikuwa na engagement ya kutosha. Alikuwa influential redioni. Kabla ya hapo nadhani alikuwa Radio One. Baada ya hapo sikumbuki sana ila mara nyingi nilimsikia kwenye udj, hasa wa zile nyimbo zetu pendwa za old school. Kitambo nikimsikia Las Vegas Casino ambapo baadae ikaitwa Isumba Lounge.
Kifupi huyu jamaa kwa kumtazama ni mbadala sahihi wa marehemu. Ni mtangazaji mahiri na mtulivu awapo kwenye mic. Ni mkongwe, jamii ya marehemu. Atafaa sana kuliongoza jahazi akisaidiwa na wabakiaji Mussa na George.
Ni kweli mkuu. Tumeona hapo Kenya pia. Mti umeanguka na mti ukapandwa chap. Ndio fomula ya maisha. Hata wife hapo ana mbadala pindi ukitangulia 😅Kifo kweli hakina huruma, mtu hata bado hajazikwa tayari amesha patikana wa kuchukua nafasi yake kazini.
Aisee...kama ume ajiriwa ukipata nafasi ya kupiga we piga haswaaaaa.
Hakuna mtu wa kukuonea huruma hii dunia nimeamini.
Jana nimemsikia akisema wanashare birthday na marehemu, same date, month and yearHivi,kiumri wanaachana miaka mingapi na marehemu Gadner?
Watanzania wanahitaji elimu ya utangazaji, sio kila unayemuona kwenye mic ni mtangazaji!, John Dilinga Matlou ni DJ JD! Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.
- Isumba Lodge: Miaka 3 ya Return of The Legend, DJ JD, John Dilinga Matlou
- Tune In " Mtaa wa Mangoma" Radio One, The Legend, John Dilinga Matlou Ananikosha Sana!.
P