Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Wapendwa habari ya kutwa na poleni na miangaiko, napenda kutoa mrejesho ya kile nilichokishuhudia leo sherehe za wafanyakazi duniani(mei mosi) katika mkoa wetu tulizoea kuona zawadi nono zikitolewa na taasisi mbalimbali za umma na binafsi, lakini nilichosikitika ni kuona leo baadhi ya taasisi hazikuonekana kabisa, mfano mwaka jana nilishuhudia kampuni moja ikitoa zawadi ya million 5 kwa wafanyakazi hodari wake, na tulizoea kuona kampuni kwa kujizolea sifa za utoaji zawadi nono, lakini nimeshangaa kutowaona leo kabisa wakifanya yao, ilibidi niulize pale uwanjani ya kwamba vipi kampuni X wameshahama mkoa huu? Nikajibiwa wapo, yaani inasikitisha sana sana