Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili.

Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki.

Nimekuona mtandaoni ukiwapa KIKUNDI Fulani pesa KIASI Cha SHILINGI 60k kwanza NIKWAMBIE hii sio afya na MH Raisi hajakutuma ukagawe fedha na Wala wale vijana hakujwambia Wana changamoto ya fedha ya kusajilinau KULIPia kitambulisho Cha mjasiri amali hata kidogo
Changamoto ni TARATIBU maafisa Maendeleo ya jamii wako HAWAKUWA wawazi kwa Akina mama hao na KIKUNDI Chao hii ndo issue ya msingi

Swali langu kwako KWA Nini mikopo ya asilimia 10% ipitie Benk? This means serikali Haina expert wa kutoa mikopo hii?

Kwa Nini msiipitishe hata kwenye Benk ya Ushirika wa vijana basi hapa nitakupa mfano mdogo kwa Nini kwenye ushirika

Mimi sifi Leo ni mfanyakazi WA Taasisi Moja ambayo inajiusisha na SHUGHULI za Debt collection katika vyama vya ushirika Tanzania bara!

Mwaka 2021 tuliwai toa HUDUMA hii katika CHAMA kimoja Cha ushirika wa Akiba na mikopo Umoja saccos kipo mkoa wa Kagera wilaya ya muleba, pale pale muleba mjini

Moja ya wadaiwa tuliokabidhiwa walikuwomo vijana na Akina mama ambao walikuwa wanadaiwa fedha za HALIMASHAURI walizokuwa wamekopeshwa na umoja saccos lakini fedha zile zilikuwa zimeingizwa na HALIMASHAURI ya muleba.

Hapa nikueleze vizuri tulifanikiwa KUKUSANYA fedha kwa asilimia 70% zote kwa vijana walio kuwa wamekopeshwa fedha zile kwa sababu kuu Tatu au NNE!

1. Mosi vijana waliokopeshwa walifata TARATIBU za saccos yaani kuweka akiba, kuwa wanachama wa CHAMA ingawa Ili wazo kilikuwa linapingwa na mkurugenzi na mkuu wa wilaya maana wao walikuwa wanataka kura.
2. Vijana walidhaminiwa DHAMANA za mikopo na ndugu zao au baba zao Ili lilisaidia kijana kuwa na nidhamu dhidi ya mikopo.
Tararibu na Sheria za ushirika zilifatwa kwa zile Sheria hakika ziliwabana wengi kuwa na nidhamu haswa.

Changamoto zilikuwepo Moja yawapo ni bahadhi ya Maafisa Maendeleo ya jamii kuinunia saccos ya umoja maana iliwanyima upigaji walio kuwa wamezoea
Pili ndugu wa viongozi mathalani madiwani na wakurugenzi na wabunge walibanwa hii ni changamoto maana nao walikuwa na haki ya kupewa MKOPO hata kwa kupindisha matakwa ya kisheria.

30% ambayo haikuiusanywa ilikuwa kwa Watumishi wa IDARA nyeti na mkurugenzi na DC ingawa ilikopwa kwa Jina la KIKUNDI CHA mtu Mmoja na wake zake wawili ila zilienda. Kwao🤣😂

Ushirika hakuna siasa ianzishwe Benk ya vijana ya Ushirika vijana wapite uko
Nmb hakuingiliki ni kuweka rong procedure!

Yaani AFISA Maendeleo ANAFANYA KAZI ya ushawishi wa vikundi avisajili amalize, awaunganishe na wakata vitambulisho vya ujasiri amali, alafu wakipata vitambulisho ndo wapelekwe Benk ya NMB Ili AFISA aje kuwakagua Ili wajuenwanapewanau hawapewi

Huu sio ujana ni uzee!
 
Back
Top Bottom