Namkubali sana my brother Joh,hana maneno mengi kazi zinaongea!
Nifah mbna unanifuata hadi huku kwa joh....
Hongera mwamba
Mzee wa nusunusu
Si ndio vizuri jamani? Joh ananikosha sana.Napenda flow yake na hata vina vyake.Ndiye msanii wa hip hop anayenikosha zaidi akiimba nyimbo za mapenzi!
Hadi leo hii wimbo wa chochote popote ni bora sana kwangu.
Basi unajua vitu vizuri,hana pozi yuko poa tu,ntamfkishia salamu.....
Kama yupo Arachuga mida hii poa.Ila jamaa ni jirani yangu pande hizo.
Nawajua vizuri tu.
Si ndio vizuri jamani? Joh ananikosha sana.Napenda flow yake na hata vina vyake.Ndiye msanii wa hip hop anayenikosha zaidi akiimba nyimbo za mapenzi!
Hadi leo hii wimbo wa chochote popote ni bora sana kwangu.
Nusu glass, nusu bob marley.
Usiofie mashabik wanaishia kwa photo
Usiofie mashabik wanaishia kwa photo
alafu staili zake za kuflow sijui huwa anazitoa wapi yani maana ziko tofauti kabisa na ile hip hop ambayo wengi wanaimba