Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 236
nimecheka hatari yani nilidhani mie ndo simwelewi huyu jogoo wetu anawika saa mda wowote akijiskia na kuazia alfajiri adi asubuhi jua kali kabisa la dar anawikaa adi anaboa unaenda tingisha banda anyamaze,akijiskia kuwika usiku saa 3 anawikaaa,nilishawaza achinjwe tu jogoo la dar ya kisasa kenge kweli😀😀😀😀