Jogoo wa sasa wamepoteza majira

Jogoo wa sasa wamepoteza majira

Kuna siku nilikuwa namrekodi(sinema, aka video) kijana wangu mdogo akicheza majira ya jioni, karibu yake jogoo aliyekuwa karibu akawika.

BAADA YA SIKU KADHAA.
Majira ya saa 2100hrs nilimkumbushia chalii wangu alichokuwa akicheza kwa kumuonyesha ile sinema na ilipofika eneo la jogoo kuwika mara jogoo wa bandani nao waliwika ilibidi tuangue vicheko.
 
Kuna siku nilikuwa namrekodi(sinema, aka video) kijana wangu mdogo akicheza majira ya jioni, karibu yake jogoo aliyekuwa karibu akawika.

BAADA YA SIKU KADHAA.
Majira ya saa 2100hrs nilimkumbushia chalii wangu alichokuwa akicheza kwa kumuonyesha ile sinema na ilipofika eneo la jogoo kuwika mara jogoo wa bandani nao waliwika ilibidi tuangue vicheko.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wanajamvi hii leo weekend,

Baba Salama ndio nimetoka kusalimiana na wadau kitaa baada ya shughuli kubwa iliyoniweka bize kwa takribani juma zima.

Maana mzee anasema tupige kazi na mimi nampa heko kwa sababu anaimba wimbo wangu alionifundisha mwalimu mkuu kuwa siku zote nifikirie nitamfanyia nini mama Tanzania katika uhai wangu ili japo jasho langu liwe na thamani katika kuchangia speed ya 7.20GDP.

Sasa cha kushangaza sasa hivi ni sasa 11.57 PM Jogoo wameshaanza kuwika kuashiria kunapambazuka nadhani nao wanaelewa kuwa Tanzania ya sasa ni ya mchakamchaka kwa hiyo hakuna kulala.

Swali langu ni je ni sahihi jogoo kuwika saa mida hii?

Sent from my Redmi 4X using JamiiForums mobile app
Hahaha hao ndio wazuri wanakukumbusha usingizi sio mzuri uamke ukatafte pesa

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Tangu awamu hii iamue kuwa haipangiwi. Majogoo nao wameamua kutopangiwa muda wa kuwika kuwe kumekucha au la. Hakuna wa kuni- drive, ndivyo alivyosema citizen No.1 na sasa ni zamu za majogoo nao kuamua

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jana la nyumbani limewika saa 19:40 na saa 23:20...
Nikajiuliza jogoo nae kapoteza majira nini?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
jogoo wa incubator skills za kuwika kafundishwa na nani...BTW huenda kuna m2 alikuwa kamkana mwanandoa mwenzie muda huo ikabidi awike kama enzi za petro na masihi

Sent from my C6603 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama jogoo Huyo atakua amekosea bali ni muda tu ulukua umefika .

Kuna jogoo huwika kila baada ya nusu SAA ukiangalia utaona ni muda Fulani hapo.
Baada ya SAA 6:30 jioni tunategemea asiwike tena mpaka SAA Tisa na nusu hata kwenye vitabu vya mungu jogoo Wa kwanza ni SAA Tisa.

Sent from my Infinix-X600 using JamiiForums mobile app
 
Jogoo wa kichina hao

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
mimi nimekulia kwenye maisha ya kilimo na ufugaji jogoo akiwika baada ya jua kuzama na kabla ya 03-04am alfajili kesho yake hiyo ni nyama.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Toa sababu tena za kisayansi. Sio kujisemea maelezo bila ya facts. Mtazoea
Huku niliko ni town hakuna wafugaji wa kutosha, so sina data ya kutoshoa
,
"No research no right to speech"

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app


Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Siku wakianza tena kuwika kwa wakati muafaka, kutakuwa na madhara makubwa yameishafanyika.
 
Jogoo huwika kuanzia SAA Tisa kamili usiku, huwika Mara mbili , kisha SAA 10 usiku Mara tatu, SAA 11 alfajiri Mara NNE , 11: 30 Mara NNE, 12: 00 Mara NNE kisha humalizia 12: 30. Baada ya hapo uwika kila baada ya saa moja mpaka saa 11: 30. Hawiki tena mpaka SAA tisa usiku.
 
Jogoo huwika kuanzia SAA Tisa kamili usiku, huwika Mara mbili , kisha SAA 10 usiku Mara tatu, SAA 11 alfajiri Mara NNE , 11: 30 Mara NNE, 12: 00 Mara NNE kisha humalizia 12: 30. Baada ya hapo uwika kila baada ya saa moja mpaka saa 11: 30. Hawiki tena mpaka SAA tisa usiku.
Ila huyo ni jogoo wa kienyeji, ila jogoo wa kisasa yeye hana mda maalum wa kuwika.

Jogoo wa kisasa yaani hata umeme ukikatika saa moja usiku, ukarudi saa mbili/tatu usiku atawika tu.

Hapo ndipo kwenye utofauti wa asili, na kisicho cha asili 100%
 
Jogoo yupi huyo....asijekuwa jogoo mzee mzima anayewika kila mara aonapo ke

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom