Jogoo la shamba hawiki mjini...

Jogoo la shamba hawiki mjini...

huyo alisoma mpaka uingereza... ushamba hata ulishamtoka.. sasa Daudi nasikia hata cheti hana
ushamba ni nini mkuu, maana hata wenyeji wa dsm hapo kila siku wanakimbia mji wanapotelea vikindu na kisarawe sisi wakuja tunachukua nafasi.
 
Namkubali sana huyu mzee... Mola amweke mahala pema peponi.
 
Acheni dhihaka leo kwao kesho kwako...! Uongozi ni kazi ngumu!
 
Back
Top Bottom