Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Kweli mkuu
Mi wala sifanyi hayo jpili ila unachomaanisha wewe ndo unafanya dhambi kuwadanganya watu hapaukijitenga na kukimbia jogging jumapili ndo utajua kuwa n kosa
Nahakika we utakuwa type za walokole. Sijui kama mnajijuaga kuwa pamoja na kwamba mnamuamini Mungu ila mna upeo mdogo sana wa kuchuja mambo na reasoning capacity yenu huwa inatia mashaka.Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu, shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani
Epuka kukurupuka...Waafrika tuna matatizo mengi sana
1. ujinga
2. kutokufikiria
3. kuishi kwa mazoea
siku ya kuabudu sio lazima jumapili tu
jumapili hukusanya watu wengi
usafi wa moyo ni siku zote mahali popote
Mbona unachelewa kuload....What if mtu akiamka mapema akafanya jogging alafu akamaliza akaenda church, hapo utasema jogging ni mpango wa Yesu?
Una hatari wewe, Mungu adhihakiwi.Mungu wenu anaona gere watu wakifanya mazoezi anataka wamuabudu yeye kwanza tu huyu mungu sio mzima kichwani ni mpenda misifa.