Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

Mungu wenu anaona gere watu wakifanya mazoezi anataka wamuabudu yeye kwanza tu huyu mungu sio mzima kichwani ni mpenda misifa.

Mkuu Maziku,hawa wakristo ndio wanamshushia huyu thamani yake,wanadhani ni kama mwanadamu mwenzao if at all he exists..

Yaani wanamfanya ni mtu mwenye wivu mkali sana,mpenda misifa,matamaa,nk.

Yaani dhambi zote wanamtwika...these christians are misleading us
 
Mtoa mada shetani ana mbinu nyingi. Karibu kila jambo tunalofanya usipo kuwa makini litaishia kuwa utukufu kwa shetani. Ni vile tu wewe unavyolichukulia na kulifanya. Jogging sio dhambi. Ila linapogeuka jambo mbadala la kwenda kanisani hapo ndio shida. Ila kama mtu amepanga muda wake vizuri halina ubaya. Vinginevyo utasema simu ni mbinu ya shetani, tv, redio na mtandao na mengineyo nayo utasema mbinu za shetani....
 
Sun day siku ya kumwabudu mungu jua, siyo siku ya kumwabudu mwenyezi Mungu bali ni mapokeo ya rumi, usitetee siku hii ukidhani ni siku takatifu. Badilika kwanza wewe kabla ya kuwaongelea wanamazoezi
 
Unapoandika jaribu kutenganisha kwa alama za kiuandishi,sasa hapa ulivyoandika mimi nimeelewa hivi;"amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanin iwe juma pili siku ya kuabudu shetani............
 
Mapato kwenye sadaka yashaanza kupungua nini, mambo magumu siku hizi haga sadaka hatutoi. Bora tukimbie tuu tupunguze stress za haya maisha labda tunaweza tukapata nafasi ya kushiriki Olympic maana kanisani mnatutisha na maneno mazito mara tutachomwa moto kiama yaani full vitisho mwanzo mwisho.
 
Kwa hyo joggin ni dhambi?mi naamini siyo dhambi na ninaweza nikafanya joggin then nikirudi nikaoga na kutuliza akili yangu naingia ndani ktk hali ya utulivu namuabudu MUNGU muumba wa mbingu na nchi,au naenda madhabahuni hata mlimani naenda kuzungumza na MUNGU na siyo dhambi.kwenye masinagogi tunaenda tu ili kustaarabiana kuona fulani nae hua anaenda kanisa fulani au msikiti fulani kuabudu,unaweka mazingiara kwa watu wakuheshimu na wakuchukulie kua wewe ni muabudu MUNGU hata kama una dhambi,ila ulichosema si dhambi
kwa Mungu hakuna ujanja ujanja
 
Mapato kwenye sadaka yashaanza kupungua nini, mambo magumu siku hizi haga sadaka hatutoi. Bora tukimbie tuu tupunguze stress za haya maisha labda tunaweza tukapata nafasi ya kushiriki Olympic maana kanisani mnatutisha na maneno mazito mara tutachomwa moto kiama yaani full vitisho mwanzo mwisho.
Mungu wetu ni tajiri sana ata bira sadaka kanisa lita simama kanisa limejengwa ktt mizingi imara,
 
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu, shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani
Nenda kanisani kwenu kwenye waumini wenye ugonjwa wa akili kama wewe waeleze jogging ni kwa ajili ya waislamu na wasabato.
 
Wew bila shaka utakua m'SILOAM" tu. Umekaza kukemea bila kueleza kiundani. Eti jogging ni Ushetan. Kwan kutumia cm yako huoni km ni ushetan pia?
 
Nafikili dhambi zote zimo kwenye Biblia hebu tupe palipo andikwa hiyo dhambi.
 
Waafrika tuna matatizo mengi sana

1. ujinga
2. kutokufikiria
3. kuishi kwa mazoea

siku ya kuabudu sio lazima jumapili tu

jumapili hukusanya watu wengi

usafi wa moyo ni siku zote mahali popote
Umejibu vizuri sana mkuu, kuna wajinga wengi wanajua siku 1 ndio ya kumuabudu Mungu. Mungu anahitaji kuabudiwa kila saa, kila dakika na kila sekunde katika maisha yetu yote hapa duniani. Ninapopiga zoezi huku rohoni namtafakari Mungu na kumuubudu kwa ukuu wake wa kuniumba mzima mwenye afya, nikiwa na mke wangu namgegeda namshukuru Mungu kwa kuniumbia na kunipa mke mwema anaenipa utamu kila ninapohitaji,(Walioko ndoani tu), kila ninachokifanya lazima sifa na utukufu vimurudie muumba wangu. Na sio kukaririshwa kwamba ni Jpili pekee, mm mwenyewe Nina miezi sijakanyanga huko makanisani.
 
Back
Top Bottom