Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

Kanisa ni kipande cha nyumba ambacho hakina tofauti na jengo lolote...unachoenda kuomba mle tayari mungu wako mwenye uwezo wote alishakijua kabla hujazaliwa...

Na mungu haitaji sadaka yako,haimsaidii chochote,na nyimbo zako hazina nafasi kwake,ni nyie wanadamu mnajiimbia humo kanisani kufutmrahishana nyie kwa nyie.

Kanisa ni grupu la watu waliojichagua wenyewe kwa utashi wao ili waweze kuwacontrol nyie waumini...mungu hajachagua kima yeyote wala mungu hajaagiza ajengewe jengo,woote ni utashi wa mwanadamu....

Ni lazima uende kanisani wakuone,utoe sadaka...wanauza bidhaa ya sala,na nyie ndio wanunuzi,bila nyie kwenda hakuna mnunuzi,hela pia hakuna,kanisa litakufa...lazima wakutishe inavyowezekana ili uende

Makanisa ni upumbavu mtupu,na mnaaminishwa mungu hua anasikiliza sala ukisali kwenye jengo fulani maalumu,nje hapo hakusikii vizuri,rubbish!
NA misikitini je??
 
Mapato kwenye sadaka yashaanza kupungua nini, mambo magumu siku hizi haga sadaka hatutoi. Bora tukimbie tuu tupunguze stress za haya maisha labda tunaweza tukapata nafasi ya kushiriki Olympic maana kanisani mnatutisha na maneno mazito mara tutachomwa moto kiama yaani full vitisho mwanzo mwisho.
Umenichekeesha Sana[emoji2] [emoji2]
 
Jogging haina dini wala kulazimishana......
 
Umejibu vizuri sana mkuu, kuna wajinga wengi wanajua siku 1 ndio ya kumuabudu Mungu. Mungu anahitaji kuabudiwa kila saa, kila dakika na kila sekunde katika maisha yetu yote hapa duniani. Ninapopiga zoezi huku rohoni namtafakari Mungu na kumuubudu kwa ukuu wake wa kuniumba mzima mwenye afya, nikiwa na mke wangu namgegeda namshukuru Mungu kwa kuniumbia na kunipa mke mwema anaenipa utamu kila ninapohitaji,(Walioko ndoani tu), kila ninachokifanya lazima sifa na utukufu vimurudie muumba wangu. Na sio kukaririshwa kwamba ni Jpili pekee, mm mwenyewe Nina miezi sijakanyanga huko makanisani.

amen mkuu, umeeleza vizuri zaidi

hawa ndie wale wanatenda dhambi katikati ya wili, halafu wanatubu jumapili

asante sana
 
Waafrika tuna matatizo mengi sana

1. ujinga
2. kutokufikiria
3. kuishi kwa mazoea

siku ya kuabudu sio lazima jumapili tu

jumapili hukusanya watu wengi

usafi wa moyo ni siku zote mahali popote
Umesema kweli
 
Mungu wetu ni tajiri sana ata bira sadaka kanisa lita simama kanisa limejengwa ktt mizingi imara,

Acha stori za kufikirika...kanisa ni taasisi,taasisi bila fedha au resources inakufa,acha mambo ya alinacha...

Mungu ni tajiri,yanini mnapitisha kapu?
 
Yaonekana mtoa mada hii jogging inakukera sana. Ni kweli vyote viwili ibada na jogging yatupasa kuvifanya, ila kama Jumapili unashiriki ibada ni vyema utokapo kanisani basi unaenda jogging, labda mtoa mada ni mpenzi wa jogging ya watu wengi. Kama ni hivyo kila siku Efm wanaendesha zoezi la jogging, fuata raiba yao na utaweza kushiriki.
 
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu, shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani

Mwili wako ni HEKALU la Bwana.

Kufanya mazoezi ya kuuweka mwili wako katika afya nzuri ni aina mojawapo ya IBADA.

IBADA
sio kupiga alama ya msalaba na kuhubiriwa tu kanisani.

Litakase HEKALU la Bwana kwa:
  • Kujisomea vitabu ili uwe na ufahamu mzuri wa mambo ya dunia.
  • Kufanya mazoezi ili kuimarisha viungo na akili yako.
  • Kuwafanyia mema watu wote, siku zote.
  • Kumcha Mungu siku zote na popote ulipo (na sio Jumapili tu au kanisani tu).
Unajua, hizi dini zote mara nyingi zinapoteza waumini wao kwa masharti yasio ya lazima kama haya -
"Usifanye Jogging, Nenda Kanisani".

Right there umekwisha nipoteza kama muumini.
 
Yaonekana mtoa mada hii jogging inakukera sana. Ni kweli vyote viwili ibada na jogging yatupasa kuvifanya, ila kama Jumapili unashiriki ibada ni vyema utokapo kanisani basi unaenda jogging, labda mtoa mada ni mpenzi wa jogging ya watu wengi. Kama ni hivyo kila siku Efm wanaendesha zoezi la jogging, fuata raiba yao na utaweza kushiriki.
ayo mazoezi ya wakata viuno
 
Mwili wako ni HEKALU la Bwana.

Kufanya mazoezi ya kuuweka mwili wako katika afya nzuri ni aina mojawapo ya IBADA.

IBADA
sio kupiga alama ya msalaba na kuhubiriwa tu kanisani.

Litakase HEKALU la Bwana kwa:
  • Kujisomea vitabu ili uwe na ufahamu mzuri wa mambo ya dunia.
  • Kufanya mazoezi ili kuimarisha viungo na akili yako.
  • Kuwafanyia mema watu wote, siku zote.
  • Kumcha Mungu siku zote na popote ulipo (na sio Jumapili tu au kanisani tu).
Unajua, hizi dini zote mara nyingi zinapoteza waumini wao kwa masharti yasio ya lazima kama haya -
"Usifanye Jogging, Nenda Kanisani".

Right there umekwisha nipoteza kama muumini.
palikuwa na wa falme wabishi kuliko wewe
 
Back
Top Bottom