Jogging ni mbinu ya kishetani kudhoofisha kanisa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu, shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani
 
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani
haya bana, wamekusikia
 
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala ikiriamta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani

Waafrika tuna matatizo mengi sana

1. ujinga
2. kutokufikiria
3. kuishi kwa mazoea

siku ya kuabudu sio lazima jumapili tu

jumapili hukusanya watu wengi

usafi wa moyo ni siku zote mahali popote
 
shetani anaziba ufahamu wenu uwezi kemea dhambi adi ujitenge na iyo dhambi kwanza joggin n mbinu ya ki shetani
Kwa hyo joggin ni dhambi?mi naamini siyo dhambi na ninaweza nikafanya joggin then nikirudi nikaoga na kutuliza akili yangu naingia ndani ktk hali ya utulivu namuabudu MUNGU muumba wa mbingu na nchi,au naenda madhabahuni hata mlimani naenda kuzungumza na MUNGU na siyo dhambi.kwenye masinagogi tunaenda tu ili kustaarabiana kuona fulani nae hua anaenda kanisa fulani au msikiti fulani kuabudu,unaweka mazingiara kwa watu wakuheshimu na wakuchukulie kua wewe ni muabudu MUNGU hata kama una dhambi,ila ulichosema si dhambi
 
Nani kafanya Jogging?
Afu mtu kutokwenda kanisani inakuwasha nini??
Kama wewe umelewa na huyo unayemuamini, potezea mambo ya watu
 
ukijitenga na kukimbia jogging jumapili ndo utajua kuwa n kosa
 
What if mtu akiamka mapema akafanya jogging alafu akamaliza akaenda church, hapo utasema jogging ni mpango wa Yesu?
 
Nani kafanya Jogging?
Afu mtu kutokwenda kanisani inakuwasha nini??
Kama wewe umelewa na huyo unayemuamini, potezea mambo ya watu
sina cha kukujibu maana jina lako n jibu tosha
 
Shetani uwa anatumia mbinu mbali mbali katika kuharibu mpango wa Mungu,moja ya njia ni huu mchezo wa jogging ambao ufanyika jumapili ambayo ni siku ya kwenda kanisani wewe m kristo mwenzangu una amka asubui na kujiandaa kwa jogging badala ya kwenda kanisani aya utajitetea kuwa una enda misa ya pili je unakuwa umechoka unaenda kanisani ukiwa mchomvu kwa sababu ya mazoezi amin amin jogging n mbinu ya ki shetani jiulize kwanini iwe juma pili siku ya kuabudu shetani ameteka ufahamu wenu anawadanganya mnajenga mwili ila jua roho zenu zinakufa zina kosa rutuba wala amta punguza magonjwa kwa jogging bari mnajiongezea acha kukimbia jogging jumapili n mbinu ya kishetani
Nafikiri ungebadilisha kichwa cha habari ili kiwe specific kwa walengwa. Ingekuwa hivi " Joging siku za jumapili asbh kwa wakristo ni mpango wa shetani " Sidhani kama kwa siku zingine nitatizo na kwa wale ambao sio wakristo nitatizo
 
  • Thanks
Reactions: dtj

sawa mkuu m naongea na Wana wa Mungu wote
 
Kanisa ni kipande cha nyumba ambacho hakina tofauti na jengo lolote...unachoenda kuomba mle tayari mungu wako mwenye uwezo wote alishakijua kabla hujazaliwa...

Na mungu haitaji sadaka yako,haimsaidii chochote,na nyimbo zako hazina nafasi kwake,ni nyie wanadamu mnajiimbia humo kanisani kufutmrahishana nyie kwa nyie.

Kanisa ni grupu la watu waliojichagua wenyewe kwa utashi wao ili waweze kuwacontrol nyie waumini...mungu hajachagua kima yeyote wala mungu hajaagiza ajengewe jengo,woote ni utashi wa mwanadamu....

Ni lazima uende kanisani wakuone,utoe sadaka...wanauza bidhaa ya sala,na nyie ndio wanunuzi,bila nyie kwenda hakuna mnunuzi,hela pia hakuna,kanisa litakufa...lazima wakutishe inavyowezekana ili uende

Makanisa ni upumbavu mtupu,na mnaaminishwa mungu hua anasikiliza sala ukisali kwenye jengo fulani maalumu,nje hapo hakusikii vizuri,rubbish!
 
Back
Top Bottom