Joel Nanauka na harakati za Mtwara. Huyu kijana ni nani?

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
949
1,685
Kuna kijana na Motivation Speaker ambaye pia hivi karibuni amechaguliwa kuwa Balozi wa Mtwara kwenye Chama cha Mapinduzi kutangaza vivutio na fursa zilizoko Mtwara.

Joel Nanauka amekuwa Mwamasishaji Maarufu hivi karibuni hapa nchini akitumia mitandao ya kijamii kuuza vitabu vyake.

Ningependa tumfahamu kwa undani Joel Nana Nanauka ni nani na adhma yake ni nini kwenye Jimbo la Mtwara.!
 
Kuna kijana na Motivetion Speaker ambaye pia Hivi karibuni amechaguliwa kuwa Balozi wa Mtwara kwenye Chama cha Mapinduzi ccm kutangaza vivutio na fursa zilizoko mtwara.
Joel Nanauka Amekuwa Mwamasishaji Maarufu hivi karibuni hapa nchini akitumia mitandao ya kijamii kuuza vitabu vyake.

Ningependa tumfahamu kwa undani Joel Nana Nanauka ni nani na adhma yake ni nini kwenye Jimbo la Mtwara.!
Ni mwenyeji wa Mtwara, alizaliwa kule, kusoma kule shule ya msingi, Sekondari alisoma Kibaha, High school Mzumbe PCB na kote alikuwa T.O. Chuo akasoma UDSM mambo ya Finance.

Amejiajiri kwenye fani ya uandishi wa vitabu, mentor na public speaker

Yule ni moja ya watu wachache sana wenye akili za darasani na maisha, ni watu wenye uwezo wa kufanya technical and fundamental analysis

Ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa wa emotional intelligence.

Namtabiria future nzuri sana, hapo baadae hasa kwenye mambo yatayohusu uongozi mkubwa wa nchi.
 
Used by Tiss

Muulize aliwahi kufanya Nazi wapi tangu amalize chuo 2009

Ana fedha alizitoa wapi?

Mbona kawa Malaya wa vyama?

Au ana stage ubunge?

Kwa uwezo wake kwa nini akose hata UDC

Poleni
🤔🤔🤔🤔🤔.......... Likely On Point !!!
 
Ni mwenyeji wa Mtwara, alizaliwa kule, kusoma kule shule ya msingi, Sekondari alisoma Kibaha, High school Mzumbe PCB na kote alikuwa T.O. Chuo akasoma UDSM mambo ya Finance.

Amejiajiri kwenye fani ya uandishi wa vitabu, mentor na public speaker

Yule ni moja ya watu wachache sana wenye akili za darasani na maisha, ni watu wenye uwezo wa kufanya technical and fundamental analysis

Ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa wa emotional intelligence.

Namtabiria future nzuri sana, hapo baadae hasa kwenye mambo yatayohusu uongozi mkubwa wa nchi.
Sahihi kabisa umeeleza vyema
 
Kuna kijana na Motivation Speaker ambaye pia hivi karibuni amechaguliwa kuwa Balozi wa Mtwara kwenye Chama cha Mapinduzi kutangaza vivutio na fursa zilizoko Mtwara.

Joel Nanauka amekuwa Mwamasishaji Maarufu hivi karibuni hapa nchini akitumia mitandao ya kijamii kuuza vitabu vyake.

Ningependa tumfahamu kwa undani Joel Nana Nanauka ni nani na adhma yake ni nini kwenye Jimbo la Mtwara.!
Ni mtu flan smart tuu hana maneno Ruwamangi wa kiwoso
 
Ni mwenyeji wa Mtwara, alizaliwa kule, kusoma kule shule ya msingi, Sekondari alisoma Kibaha, High school Mzumbe PCB na kote alikuwa T.O. Chuo akasoma UDSM mambo ya Finance.

Amejiajiri kwenye fani ya uandishi wa vitabu, mentor na public speaker

Yule ni moja ya watu wachache sana wenye akili za darasani na maisha, ni watu wenye uwezo wa kufanya technical and fundamental analysis

Ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa wa emotional intelligence.

Namtabiria future nzuri sana, hapo baadae hasa kwenye mambo yatayohusu uongozi mkubwa wa nchi.
Hahaaaaa, mnajipa promo motivation speaker. Alikuwa T.O mwaka gani mkuu? Naomba nijifunze, anamotivate watu kwa namna gani?
 
Ni mwenyeji wa Mtwara, alizaliwa kule, kusoma kule shule ya msingi, Sekondari alisoma Kibaha, High school Mzumbe PCB na kote alikuwa T.O. Chuo akasoma UDSM mambo ya Finance.

Amejiajiri kwenye fani ya uandishi wa vitabu, mentor na public speaker

Yule ni moja ya watu wachache sana wenye akili za darasani na maisha, ni watu wenye uwezo wa kufanya technical and fundamental analysis

Ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa wa emotional intelligence.

Namtabiria future nzuri sana, hapo baadae hasa kwenye mambo yatayohusu uongozi mkubwa wa nchi.
Mbona hujaongezea na ile skendo yake hapo inayotrend nyuma ya pazia
 
Ni mwenyeji wa Mtwara, alizaliwa kule, kusoma kule shule ya msingi, Sekondari alisoma Kibaha, High school Mzumbe PCB na kote alikuwa T.O. Chuo akasoma UDSM mambo ya Finance.

Amejiajiri kwenye fani ya uandishi wa vitabu, mentor na public speaker

Yule ni moja ya watu wachache sana wenye akili za darasani na maisha, ni watu wenye uwezo wa kufanya technical and fundamental analysis

Ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa wa emotional intelligence.

Namtabiria future nzuri sana, hapo baadae hasa kwenye mambo yatayohusu uongozi mkubwa wa nchi.
Alikuwa TO olevel na sidhani kama aliwahi kusoma mzumbe. Yule ni kibaha boy.
 
Back
Top Bottom