- Thread starter
- #61
Mkuu kama umejiari naomba njia ulizopitia Nami nipitieTatizo umekariri kuwa mpaka uajiriwe! Na ofisi mpaka iwe na meza na kiti! Kalaghabaho!
Mkuu kama umejiari naomba njia ulizopitia Nami nipitieTatizo umekariri kuwa mpaka uajiriwe! Na ofisi mpaka iwe na meza na kiti! Kalaghabaho!
Tukazane mkuuTuko on the same boat arifu!! Hapa nnavoandika nimetoka kunyeshea kitalu cha miche ya kabichi!! Life goes arifu!!
Amen Mungu ni mkubwaGod's time is always perfect !. Keep waiting while praying
Jipe moyo kaka ni kwa foleniHakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Nauchukua mkuu naamini tafanikishaPole,ila usikate Tamaa chukua ushauri uliopewa na ufanyie kazi Mungu akusaidie ufanikiwe,
Naamini hivyo mkuu si choki kupambanaJipe moyo kaka ni kwa foleni
Pambana kakaNaamini hivyo mkuu si choki kupambana
Usisahau kuweka pembeni pesa ya matibabu ya mgongo pindi utakapoanza kuingua uzeeni(umri wa utu uzima).Tunabeba na kupakia magunia ha parachichi huku kwetu yanapelekwa dar per day tunagawana sio chini ya elfu 25 kila mtu hebu piga per month ni bei gani hiyo napata mbeba magunia sina haja ya kuajiriwa mie, magunia yakikata napanda mlima (kilimanjaro)
Ndo napambana angalau nipate maana hii dhana ya kujiarii wakati mazingira sio rafiki yanachanganya sanaJiangalie mkuu.kuna oparesheni nguvukazi inakuja!ohoo jishikize popote.
Mazingira ni rafiki sana nchi hii,wapi utatembea bila kitambulisho toka kyaka mpaka mikindani?unaujuzi gani labda kama hutajali lakini.Ndo napambana angalau nipate maana hii dhana ya kujiarii wakati mazingira sio rafiki yanachanganya sana
Mkuu labda unipe hizo njia rafiki za kujikwamuaMazingira ni rafiki sana nchi hii,wapi utatembea bila kitambulisho toka kyaka mpaka mikindani?unaujuzi gani labda kama hutajali lakini.
tunasthili kudhalaurika kwa tunaishi kama parasite; hila sababu kubwa ni kutoandaliwa kupambana sawasawa na mazingira baada ya masomo, sera mbovu za ajira tanzania, kukosa watu wenye uwezo wa ku-create job opotunities katika sirikali, umaskini wa nchi( kutokana na ubinasfi/ufisadi wa baadhi yaa leaders)Hakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Mkuu umesematunasthili kudhalaurika kwa tunaishi kama parasite; hila sababu kubwa ni kutoandaliwa kupambana sawasawa na mazingira baada ya masomo, sera mbovu za ajira tanzania, kukosa watu wenye uwezo wa ku-create job opotunities katika sirikali, umaskini wa nchi( kutokana na ubinasfi/ufisadi wa baadhi yaa leaders)
kutoirasmisha au itambuasupport sekta isiyo rasmi
kutokuwa na uchumi shirikishi wa kitaifa b'se sera hubadilika afta uchaguzi (sera mbovu) za kisiasa
Kweli kaka umesema pointHakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Utafika mkuu c mbali utashuhudiaHakuna fedhea kubwa dunia kama umesoma umri unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu.
Hatua mbaya kama mtaji wa kufanya Biashara upo muhimize afanye hivyo binafsi mtaji tatizoNina dogo anajiona kama dunia imemuangukia mwenye balaa nimemshauri biashara hataki hata kusikia mwaka wa tano huu toka a graduate sasa hivi anamwambia mama atakunywa sumu ushauri wanajamvi
Wala hiyo sio shida coz the same applies kwa wale wanaokaa kwa muda mrefu lazima kuna matatizo baadae ie uti wa mgongo so kuajiriwa haswa white collar jobs kukaa ofisini muda mrefuUsisahau kuweka pembeni pesa ya matibabu ya mgongo pindi utakapoanza kuingua uzeeni(umri wa utu uzima).