Jobless tunadhaurika sana

Jobless tunadhaurika sana

Zote njia za maisha ,
Bora nikae kwenye feni langu la panga boy napata milioni moja kwa mwezi kuliko kuniajiri nikae kwenye AC halafu unilipe laki 5 na 50 kwa mwezi
Yote ni maslai unaweza kulipwa iyo milioni moja lkn husifanye kitu zikaishia kuhonga,pombe na ushirikina.nidhamu kwenye kipato unachopata ni muhimu.kwa maendeleo haijalishi unapata sh ngp
 
Endelea kusubiri kazi toka ktk karatasi ulizoweka ktk mfuko wa kaki uliopo ktk droo ya kabati chumbani kwako uone kama umuri unasubra. Akili yako yote imefungwa ktk kuajiriwa, kuajiriwa ndio plan A yako vipi plan B?
 
Back
Top Bottom