hapana naangalia mwenendo wake.hesabu ndio zitaamua kuwa aondoke au abaki lakini mara nyingi wakigonga miaka 23 akili ya ukubwa inawaingia ndiomana tunaepusha shari
Kwa shemeji madogo yanasumbua kinoko... Jau kinyama TV siinjoi, msosi ukiwa unapakua yana kutolewa macho kishenzi na ya nakaa yana kuuliza kwenu unaenda lini?
Hamna Mwanaume mwenye afya timamu ya akili alafu amwambie mwanaume mwenzie afunue kalio😀
Au na Wewe ni Wa Dar maana ndo mbanga zenu,Kanda ya ziwa sio mikato yetu hiyo