Jobless experience

Ujobless ndio kitu ambacho sitaki hata kukumbuka ni kati ya experience mbaya nilizowahi kupitia huko nyuma.
Inafika muda mtu unakosa hata 400 ya daladala
 
Acheni kuishi kwa kuchagua kazi

Hapa mjini kazi ni nyingi sana

Pambanen kuishi kwa wazazi siyo sifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…