JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta. Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process!!! Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu...

Acha visingizio wewe, suala la hard copy liko hivi, ujkiamua kutuma posta, kinachoangaliwa ni lini ile barua yako iligongwa mhuri pale Posta, hivyo kama uko serious kweli fanya hayo na tumia mtandao, klakini kumbuka kuna hizo sifa nyingine achana na suala tarehe.
 
Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta. Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process!!! Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu...

Sheria za mambo ya utumaji, usafirishaji na upokeaji wa Barua pamoja na deadlines zinasema hivi: Barua inapopigwa mhuri pale posta siku unapoituma, basi moja kwa moja inaeleweka kuwa tayari imepokelewa na mhusika. Ngoja nirahisishe kidogo, mfano Siku ya Mwisho wa maombi ni tarehe 06 March, 2013, wewe ukiituma barua yako tarehe 05, March 2013 na ikapigwa muhuri wa posta wa tarehe 05 March 2013 basi inajulikana imepokelewa na mhusika hata kama itamfikia wiki moja baada ya deadline, wanachoangalia ni siku ilipogongwa muhuri wa posta!
Usipoelewa nenda tuition!
 
Kama kutakuwa na Mkwanja wa kutosha, nasubiria u-Coordinator Kusini!! Narudia, kama kutakuwa na mkwanja wa kutosha coz' mimi sio CHADEMA so hakuna cha kujitolea. Kitu ammbacho nina uhakika nacho ni kwamba, i'll do the job effectively hata kama mimi si CDM!
 
Just imagine kijana jobless unamuweka kwenye mazingira ya kuapply kwa DHL kazi ambayo hana uhakika wa kuipata halafu unasema ni equal opportunity!!!

Kwani huwezi kumtumia jamaa yako vyeti electronically akadownload na kuprint kisha akupelekee in hard copy? Mbona watanzania hatupendi kujaribu? Hatupaswi kulalamika kabla ya kujaribu. Hata ukiwa ulaya bado unaweza ku- meet deadline hiyo kama una nia kweli ya kujaribu.
 
Unataka ukafoji nini........maana application ni hardly 1hr umemaliza, we peleka vyeti genuine sio kulalamika jf wakati hata kuomba haujaomba. Kazi utangazwa kutegemea ua-urgency wake katika mipango ya taasisi husika.

......

Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta.

Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process.

Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu.
 
Just imagine kijana jobless unamuweka kwenye mazingira ya kuapply kwa DHL kazi ambayo hana uhakika wa kuipata halafu unasema ni equal opportunity!!!

......

10th March ndo deadline, lakini hata kama upo Songea ukauma siku ile ile kwa njia ya Posta kwa ku'register kifurushi/bahasha yako bado hata ikifika 20th March inahesabika ni ya 10th March.

Wanao'scrutinize wana delay time kusubiri zile zilizotumwa kwa njia ya Register, hawaazi siku ile ile ya tarh ya mwisho. ila ukituma barua yako 11th march hata ikifika kabla ya kuanza kuzichambua bado huja'qualify... umenielewa??
 
Kama kutakuwa na Mkwanja wa kutosha, nasubiria u-Coordinator Kusini!! Narudia, kama kutakuwa na mkwanja wa kutosha coz' mimi sio CHADEMA so hakuna cha kujitolea. Kitu ammbacho nina uhakika nacho ni kwamba, i'll do the job effectively hata kama mimi si CDM!

.....

Huna sifa, inatakiwa uwe mwanachama wa CHADEMA.
 
Tangazo linasema "CHADEMA is an equal opportunity organization"
Lakini bado wanataka mwombaji "At least acquainted to the party for past three
year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an
added advantage)"
Sasa hapo hakuna tena equal opportunity.

......

Husiwe Nazi! Equal opportunity kwa wenye hizo sifa! EBO?
 
........mimi sio CHADEMA so hakuna cha kujitolea. Kitu ammbacho nina uhakika nacho ni kwamba, i'll do the job effectively hata kama mimi si CDM!

lazima uwe mwanachama wa CDM, kama huwezi hata kusoma maelezo haya mafupi ukayaelewa utawezaje kufanya hii kazi "effectively"?
 
Huna sifa, inatakiwa uwe mwanachama wa CHADEMA.

.......

Kwenye professionalism hakuhitaji uanachama......mie nisiye mwanachama naweza ku-deliver much better pengine kuliko aliye mwanachama.

By the way, mie sitakuwa na personal interests lakini hao wanachama watakuwa na personal interests! Mkiwaweka akina Ben Saanane, itakuwa wana-coordinate at the same time wanatafuta pa kutokea...shauri yenu.
 
Tangazo linasema "CHADEMA is an equal opportunity organization".
Lakini bado wanataka mwombaji "At least acquainted to the party for past three
year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an added advantage)"

Sasa hapo hakuna tena equal opportunity.

......

To be frank CHADEMA wana tisha, kwa Mwendo wa CCM kuwabeba watu kama kina Nape ambao wako pale tu kwa sababu ya nasaba yake wataisoma namba
.
 
Kwenye professionalism hakuhitaji uanachama......mie nisiye mwanachama naweza ku-deliver much better pengine kuliko aliye mwanachama! By the way, mie sitakuwa na personal interests lakini hao wanachama watakuwa na personal interests! Mkiwaweka akina Ben Saanane, itakuwa wana-coordinate at the same time wanatafuta pa kutokea...shauri yenu!

......
Mkuu acha ubishi, kwa mujibu wa Tangazo huna sifa,

.....
.... if you are the CHADEMA member....

Rudi tena kwenye Tangazo juu usome maandishi ya blue.
hiyo ni moja ya sifa muhimu ili kuepuka mamluki wa CCM
.
 
Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta.

Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process.

Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu...

.......

Kwani email nayo ni tatizo kwako? Tuma email kama posta itachelewa.
 
Thanks CHADEMA, leadership by example, No favoritism!!! LAZIMA KIELEWEKE.......hakuna mazoea wala siasa za mitandao!!!!
 
acheni kulalama nyie magamba tatizo mmezoea kila k2 kutafuniwa na kuwekewa hapa jamvini pasipo nyie kujishugurisha kutafta information.kazi imetangazwa toka jp2 kwny magazet esp t/daima cha kusema wametoa trh 5 nanl kakudanganya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom