UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 173
duh nimeishia kucheka tu watu walivyo wabishi humu ndani. duh angalau chadema mtanirudisha nyumbani duh huku nimechoka nimeshatuma maombi yangu sifa zote ninazo ni wa maeneo ya huko huko tatizo moja tu sio sijachukua kadi ya chadema na nipo mbali sijui itakuwaje ebu ngoja tusubirie kama tutaitwa,